Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

wiki hii nimejifunza somo kubwa sana kuhusu matreni,

last week nilisuka treni nikaweka 1000 ili itoe 190k, alibaki man utd peke yake vs twente wakanipa cashout ya 110k nikagoma..... ngoma lost

jana nilisuka treni la hadi alhamis nikatia 1k ili nivune 5.3m bayern nilimpa over 1.5 (individual total), ilipofika ht wakanipa cashout 90k, nimegoma....lost!

hapa nimegundua dawa ya treni ni kustake mara 2 (mfano leo ningecashout mmoja na kubaki mwingine, still ningepata faida kubwa!).......

nashauri wapenda treni, hata kama unastake 100, bora ustake mara 2 utapata faida hata mara 100 yake lakini ukistake moja inakua ngumu ku-cashout wakati unaona dalili za kushinda zipo kumbe kuna vibwengo kama man u wanachana!

..... unaesuka treni jitahidi sana ustakw mara 2, kuna namna utapata faida mana mengi huchanika baada ya game 10+, unakuta umebakiza game 10 kati ya 30+ linachanika
Naunga mkono Hojaaaa
Mie mara kibao na CASHOUT chumba hicho

Na jingine kwa SGR lovers

Stake high kwenye Train,
Mfano train la milioni 90 au 50,ukistake 10,000 basi Mechi zikifoka robo tu basi pesa nzuri mnoo na hata winning margin ya kila match CASHOUT inapanda kwa Kasi mnoo

We mfano unaweka Tsh:20 tu,Mechi 10 zikitiki ubakimia kenye 1,000 naaa

Good that tunakumbushana

Mie train huwa na stake mikeka 3 ktk,Tangu nione majanga ya CASHOUT yanazingua
 
UEFA+ EUROPA

Huu mfumo wa kucheza kama league utatuchania mikeka mpaka basi

League za ndani zinakuwa hazina uhakika
Kila Team inalinda wachezaji wake kwa International Games

Itatucost mnooo hii

Lazima plans options zibadilike

IMaana kesho kutwa wote wana matches
 
UEFA+ EUROPA

Huu mfumo wa kucheza kama league utatuchania mikeka mpaka basi

League za ndani zinakuwa hazina uhakika
Kila Team inalinda wachezaji wake kwa International Games

Itatucost mnooo hii

Lazima plans options zibadili
Umeongea kitu kikubwa na cha maana sana. Wiki mbili zilizopita alikuwa Liverpool
 
Ngoja tuone
Screenshot_2024-09-28-23-17-57-350_com.android.chrome.jpg
 
Naunga mkono Hojaaaa
Mie mara kibao na CASHOUT chumba hicho

Na jingine kwa SGR lovers

Stake high kwenye Train,
Mfano train la milioni 90 au 50,ukistake 10,000 basi Mechi zikifoka robo tu basi pesa nzuri mnoo na hata winning margin ya kila match CASHOUT inapanda kwa Kasi mnoo

We mfano unaweka Tsh:20 tu,Mechi 10 zikitiki ubakimia kenye 1,000 naaa

Good that tunakumbushana

Mie train huwa na stake mikeka 3 ktk,Tangu nione majanga ya CASHOUT yanazingua
......nimependa hiyo kustake mara 3, naichukua mkuu......
 
Back
Top Bottom