Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

IMG-20240929-WA0009.jpg
 
KuBET ni Sawa na Kubeba MIMBA

Yaani siku ya kuzaa ule uchungu mmama anatukana manesi mpaka aliempa Mimba
Huku akiongeza kwamba hataki Tena kusikia kitu Mimba
Akijifungua tu siku ya 3 kasahau kila kitu 🤣🤣🤣,miezi Sita Mimba ndiii nyingine

Sasa leo ni siku mpyaaaa,Inter,Man city tumeishawasahau

Tukumbe tu, Keshookutwa UEFA na EUROA na CONFERENCE League ZINAANZA round yake, Team performances hazitakuwa Rafiki

Kila la Kheir Wadau,mpaka Kanji ajue kizaram
 
Daa hii timu imenikosesha million 14 vikapu vinne tu kipindi cha kwanza
 
Attachments

  • Screenshot_20240929-015918_Chrome.jpg
    Screenshot_20240929-015918_Chrome.jpg
    214.5 KB · Views: 1
8nyrkl.jpg

📌 ACCUMULATOR OF THE DAY ON PARIPESA ⚽

Huna Akaunti Ya PARIPESA? Jiunge Kwenye Link Hizo Hapo Chini Na Promo Code Weka TIPS2424 upate bonus.

Link👇

PariPesa

PariPesa

Promo Code: TIPS2424

📌 Pata 250000 Bure Kwenye PariPesa Ukijiunga Leo Na Kuweka Promo Code TIPS2424 Na Kudeposit.

Booking Code: N68UZ
 
Karibuni tuinvest katika soko letu la hisa iwe meridian, iplay8 casino, m-bet, premier betting, skybet, landbrokerz, bet365... n.k
GG (maana yake tim zote zifungane).. GGGG ( tim zote zifungane kila kipindi)

2+ (katika mechi yote yapatikane magoli kuanzia mawili)...

I 2+ (kipindi cha kwanza yapatikane magoli kuanzia mawli)...

II2+ (kipindi cha pili yapatikane magoli kuanzia mawili)....

H2+ (tim ya nyumbani ipate magoli kuanzia mawili)...

A2+ (timu ya ugenini ipate magoli kuanzia mawili)...
Barcelona kweli wewe ni wakunifanyia hivi. umeniuzi sana nimekosa mamilion kwaajir yako
 
Ipo Sawa

Ongeza Azam Win or Draw
Mechi ya SIMBA mie pia nimeipa Win or Draw,yule Mecky Mexime kocha wa Dodoma huwa ana provide Mechi ngum mnoo kwa Simba

Maana Dodoma Jiji kafungwa Mechi Moja tu kwenye mechi 5.
Draw na Prison
Mbili mbili na Fountain gate
Kamfunga Namungo
Bila Bila na Pamba Jiji
Alifungwa na Maahujaa tu goal Moja

SIMBA najua ni level kubwa na wapo on fire mnoo
Ila hii NDIO Mechi yao ya Kwanza Tangu league ianze kucheza Mkoani.
So,mie Direct Win nimeiogopa mpaka niione Simba at least imecheza Mechi 5 za mikoani nitaweza kuona stability yao

But Simba still giant na 80% ya winning ipo

Ni mtizamo WANGU
Mkuu unanitia mashaka nishaweka mzigo simba win
 
Mkwepeni Azam
 
Back
Top Bottom