Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

2.15
Odds
Wekamzigoo
 

Attachments

  • 1727615932238.jpg
    1727615932238.jpg
    48.5 KB · Views: 1
7 odds
Wekamzigo
 

Attachments

  • 1727616138808.jpg
    1727616138808.jpg
    66.2 KB · Views: 2
Wakati wa kusuka mkeka akili inakwendaga wapi, huyu roma nilishamweka blacklist sasa sijui imekuaje leo nimemp win.
 
I
Hivi kwa tunaotumia Sportybet, hii game ya galatasalay nilimpa win, katoa draw ila mkeka bado unasoma ,hii ikoje wadauItakua

Mkuu kwa odd hizo na assume una stake high.
Roma na Napoli kuwaweka mkeka mmoja ni hatari kwa afya ya mkeka wako hata kama wapo nyumbani na umewapa DC

Hapo timu zenye possibility kubwa ya kutoa ni Simba na Yanga tu hata ziki lost uanona kabisa zimeteleza

Bora kumpa Simba win na Yanga win over 1.5 angalau matumaini ni makubwa

Na unaweza ukaziacha Roma na Napoli ukashangaa zime shinda ushindi mnono kabisa😂.

Mind you katikati ya wiki Roma ana mashindano ya Europe
Daah aisee huu ushauri wako ningeona mapema nisingemuweka Roma maana kashapigwa na sioni cha maana wanachocheza.
Hamna plan, hamna determination, yaan hawa wanafanana na Man u wakishinda mechi moja wanaridhika.
 
Kampuni mpya zimejipanga zina option nyingi lakini akina sportpesa wamekomaa na option 17 tu.

Fikiria eti ukitaka simba na yanga wote kwenye game zao washinde first half hakuna hiyo option.

Kinachombeba sportpesa ni kwa vile alikuja mapema hapa bongo halafu payment method zake hazisumbui.
Hivi ni kampuni gani yenye live game nyingi kwa pamoja ukiachana na sportybet?
 
Back
Top Bottom