NImekutana na " what is cashout" kumbe stuttgart kashafanya yake......mapema kabisa nimewekwa benchiNimejichanganya leo na timu za championship sasa hizo mbili nilizoweka tu ndo hazina magoli zingine zote zimeshatoa
Tuko hapa wa 2+NEWCASTLE anasepa na Mifugo
Wale wa Mbwembwe za magoli mengi aiseee kazi imeingia kazi
Kesho nayo ni siku mkuuNImekutana na " what is cashout" kumbe stuttgart kashafanya yake......mapema kabisa nimewekwa benchi
Newcastle na shosti zao kina Levekusen 😃😃😃😃NEWCASTLE anasepa na Mifugo
Wale wa Mbwembwe za magoli mengi aiseee kazi imeingia kazi
Mie niliipa overall 2.5 aiseeTuko hapa wa 2+
I walimpa dir win na alikuwa na pts nzuriNEWCASTLE anasepa na Mifugo
Wale wa Mbwembwe za magoli mengi aiseee kazi imeingia kazi
Kazi nzuri sanaLeo namimi nimemuokota muhindi 😆 😂 😆 😂 😆
Kujilipua mkuuKazi nzuri sana
Hongera mkuu sisi wengine tuliwapa Arsenal GG na Newcastle over 1.5 kwanini wasituoneshe kazi🤣Leo namimi nimemuokota muhindi 😆 😂 😆 😂 😆