NImekutana na " what is cashout" kumbe stuttgart kashafanya yake......mapema kabisa nimewekwa benchiNimejichanganya leo na timu za championship sasa hizo mbili nilizoweka tu ndo hazina magoli zingine zote zimeshatoa
Tuko hapa wa 2+NEWCASTLE anasepa na Mifugo
Wale wa Mbwembwe za magoli mengi aiseee kazi imeingia kazi
Kesho nayo ni siku mkuuNImekutana na " what is cashout" kumbe stuttgart kashafanya yake......mapema kabisa nimewekwa benchi
Newcastle na shosti zao kina Levekusen ππππNEWCASTLE anasepa na Mifugo
Wale wa Mbwembwe za magoli mengi aiseee kazi imeingia kazi
Mie niliipa overall 2.5 aiseeTuko hapa wa 2+
I walimpa dir win na alikuwa na pts nzuriNEWCASTLE anasepa na Mifugo
Wale wa Mbwembwe za magoli mengi aiseee kazi imeingia kazi
Kazi nzuri sanaLeo namimi nimemuokota muhindi π π π π π
Kujilipua mkuuKazi nzuri sana
Hongera mkuu sisi wengine tuliwapa Arsenal GG na Newcastle over 1.5 kwanini wasituoneshe kaziπ€£Leo namimi nimemuokota muhindi π π π π π