Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Jitahiidi uwe na simu ndogo nipigie nikuelekeze jinsi ya kufunģua acc ukibet alone unakuwa na amani zaidi....
Pdidytzntusa
 
Mpwa ukitaka kufurahia
Oky 3 to 5 odds

Weka mounga hata wa 20k -30k
kwa mikeka 3
Hukosi mtaji unarudiamafaida
 
Tuma 5000 kwa odds 30 plus tumia 5000_10000
nikishaweka nakuonyesha hapa kinachopatikana ukiwin

Kesho nakuweka hapa screenshot mpwa ya tips zote

Intact nakuwekea pia screenshot zitakazokuwepo ili izifwatilie
Ananioteaa na namwotea mpwaa mhindi kama ndoa ta kichaga ukisugua vizuri anakupa heshima ukirudi umelewa woi unamkia chumba cha watoto
😅😅😅😂😂😂
Una maneno wewe😂😂😂
 
Jitahiidi uwe na simu ndogo nipigie nikuelekeze jinsi ya kufunģua acc ukibet alone unakuwa na amani zaidi....
Pdidytzntusa
Kufungua account naweza, sema yale manamba namba na matimu ndio napata kizunguzungu mpwa
 
Mmoja ajitolee kunichezea.
Naweka mezani laki 8 ya mchezo.
Niko serious
Usibet laki 8 best bora uanze na hela kidogo uwanjani hawatabiriki, fungua account yako tena sportybet ndio nzuri then kuna codes huku zinatumwa kila siku ombe uelekezwe jinsi ya kuplace code na vingine vidogovidogo.
 
Kufungua account naweza, sema yale manamba namba na matimu ndio napata kizunguzungu mpwa
Fungua acc sportybet wekahela ukifanikiwa piga 0689456855 freetoll uchajiwi ntakuelekeza mpwa kuweka codes na kubet kama uko dar tungekaa sehemu ya manukato kama Clight nk ungeelewa fasta mpwaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…