Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Muda wa kutukana na kulaani kimoyo moyo na kujilaumu kwanini nilimpa fulani ashinde mazima umewadia!
 
Basi lazima vijana mtakua mnampuna muhindi hadi uzi unakua trending
 
villa kona 1 tu, wakati niliwaomba 4.....
.
leo tunatapika tulivyokula wiki nzima kuanzia jumapili[emoji1435]
 
Hizi kampuni za kubeti zinaathiri matokeo uwanjani kwa namna moja au nyingine.
Dawa ni ku stake pesa unayoweza kupoteza, imagine nilitaka kuweka laki kwa madrid na bayern, si ningepata kipigo cha maana, bora niliweka 20k sio mbaya. Kuna matokeo ya kushangaza msimu huu kwenye ligi mbalimbali ulaya.
 
Back
Top Bottom