Governor of Bettors-GB
JF-Expert Member
- Jul 14, 2013
- 10,568
- 9,710
Mambo magum mkuu Bayern nmempa mazima alaf hasomekiBasi lazima vijana mtakua mnampuna muhindi hadi uzi unakua trending
Kwan ya leo c bado inapumuaπ€£π€£π€£π€£
Hapa watu tuandae mikeka ya Kesho tuuu
Hii imeshaenda hii ,Madrid kachoma na liva 2+ hakunaKwan ya leo c bado inapumua
Madrid anakuja na come back ya hatari,Sasa hivi zitapatina goli mbiliHii imeshaenda hii ,Madrid kachoma na liva 2+ hakuna
Kesho chukua laki 8 mpe yanga mazima chelsea mazima faida laki 4 utakuja kunishukuruBasi, hiyo haikuwa bahati yangu
We jamaa acha basi ,come back itoke wapi unakuta wachezaji nao wametia mzigo Hawa kwa lilleMadrid anakuja na come back ya hatari,Sasa hivi zitapatina goli mbili
ππππππ nina majonzi mikeka yangu inaenda yote ila nimecheka mno. Kesho nayo siku mkuuvilla kona 1 tu, wakati niliwaomba 4.....
.
leo tunatapika tulivyokula wiki nzima kuanzia jumapili[emoji1435]
Ishakuwa biashara hii sasa hivi, inalipa kuliko mauzo ya jeziKuna timu zitakuwa zinabet aiseee, hili lichunguzwe haiwezekani