Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Sijawai kubet ila nna shida ya kodi ya kupanga nadaiwa na mwenye nyumba hataki hadith yoyote nipeleke kodi au apige kufuli lake.

Nimewaza kupata helq ya chap chap labda nijaribu betting. Naisaka laki 9 .

Wenye kuguswa mnishauri mimi sijui kabisa betting nimeamasika baada kuona dogo mtaani kapata million mbili aliweka elfu 20 timu kumi zifungane magoli nafikiri kila timu iweke goli haijalishi matokeo nikaona kumbe inawezekana.

Nataka niichome elfu 30 yangu ebu mnisaidie nifanyeje niweke vipi mikeka yangu walau mitatu au minne nipate million, nikiliwa basi nitaachana kabisa na hizi ishu coz sikuwai kuvutiwa nazo.

Unaweza pia kunichek PM unisaidie, nabetia shida sina namna.
Hiyo ni pata potea usijaribu, tuliza fuvu utapata ufumbuzi wa tatizo lako, "there is no easy money"
 
Elfu 50 sina mkuu ningejilipua potelea mbali niwe nimejaribu kufanya kitu kujipambania
Humu wengi wanabet kutafuta kipato cha ziada lakini bado wanekupa ushauri usijaribu hivyo hata mie najazia USIJARIBU kufanya hivyo wewe bet kutokana na uwezo wako huku ukitafuta hiyo kodi
 
Zinafanana ila utofauti wake mimi nilivyoona hii flash save ni system yenyewe automatic inaamua kulingana na aina ya mechi yenyewe ila huku kwenye 2Up ww mwenyewe unaset na kumbuka kwenye kuset 2up kuna odds zinapungua
Kwenye flashsave mhindi anakupa win kama kukiwa hakuna mategemeo kabisa ya matokeo kuja tofauti mfano leo simba anaoongoza 2-0 hakuna ambae angeweza kufikiria kama Coastal anaweza kuchomoa.
 
Kuna odds saba za kufumba macho:
Madrid win
Baselona win
Chelsea win
Arsenal win
Man city win
Liverpool win

Mengine tumwachie mungu
Hapo nawasi wasi na chelsea kama vp mpe 1X , afu pia tukirudi ujeruman
Gemu ya Leverkusen mpe GG, Borrusia Mpe GG au over 2.5

Scotland
Mpe kushinda au mlinde Celtic, aberdeen,rangers

Portugal
Mpe DC porto, lisbon, na benfica


NB kwa ambaye yupo away katika scotland na portugal wape over 0.5 FT odds ni 1.09 hadi 1.14 kam sijasahau

Uholanz
Mpe over 0.5, DC au win

PSV, Ajax na Alkmaar

China
Ukiona kuna Shanghai port mpe win, ukiona kuna Shanghai shenhua mpe win or dc or over 0.5 kama yuko away.

Japan
Mpe DC au win team inaitwa Kobe fc, mpe DC Hiroshima
 
Sijawai kubet ila nna shida ya kodi ya kupanga nadaiwa na mwenye nyumba hataki hadith yoyote nipeleke kodi au apige kufuli lake.

Nimewaza kupata helq ya chap chap labda nijaribu betting. Naisaka laki 9 .

Wenye kuguswa mnishauri mimi sijui kabisa betting nimeamasika baada kuona dogo mtaani kapata million mbili aliweka elfu 20 timu kumi zifungane magoli nafikiri kila timu iweke goli haijalishi matokeo nikaona kumbe inawezekana.

Nataka niichome elfu 30 yangu ebu mnisaidie nifanyeje niweke vipi mikeka yangu walau mitatu au minne nipate million, nikiliwa basi nitaachana kabisa na hizi ishu coz sikuwai kuvutiwa nazo.

Unaweza pia kunichek PM unisaidie, nabetia shida sina namna.
Mkuu achana nayo hii, utalia sana.

Na wala asikufate mtu inbox akasema anatoa correct acore hao ni wezi usikubal hiyo hela bora ule tu.
 
Nipe mkuu, nitashukuru sana. Mimi nna elfu 30.

Mimi nipo tayari kupoteza imradi niwe nimepambania ishu yangu.
huo ndo uanaume sasa, mwanaume ni risk taker.. mkuu ww weka mkeka huo usisikilize watu wanaosema utapoteza me naamini utatoboa tu na utarudi hapa kutupa feedback
 
Screenshot_20240122-185730_1.jpg

WEEKEND YA KUTENGENEZA HELA HII HAPA. LEO TUTENGENEZE HELA KWENYE PARIPESA

Jiunge PARIPESA Hapa Kama Huna Akaunti 👇

PariPesa

PariPesa

Promo Code: TIPS2424

📌 Pata 250000 Bure Kwenye PariPesa Ukijiunga Na Kuweka Promo Code TIPS2424 Na Kudeposit.

Code Ya Mkeka Saa 4 Asubuhi
 
Hakuna kitu nimekuja kukichukia kama kitu kinaitwa Cash Out......nitaanza rasmi kubet na kampuni zisizo na cashout.

Kwa upande wangu mimi cashout imenipa hasara na sio faida, sababu mimi sio mdau wa matreni.
 
Back
Top Bottom