Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 14,421
- 40,936
Kila siku tunadeposit. Lini tutawithdraw?
Kweli ikibidi hata kuuza baadhi ya vitu vyake ili alipe hyo kodi lakini kwa betting atapata maumivu zaidiKodi la 9, Elfu 50 huna 🤣🤣🤣
Acha KAMARI.
Utafilisika mpaka AKILI
Kamari haijawa mtatuzi sahihi wa shida za dharura,Ugonjwa wa Sonona inakuhusu
Najua matapeli Wengi mnoo wame ku PM baada ya matokeo ushkaji unaisha
Find alternatives utatue tatizo
Vijana wa zamani walikuwa wakisemaKila siku tunadeposit. Lini tutawithdraw?
Tajiri tajiri tajiri tupe code na sisi tutusueShida ni kampuni ni matapeli sio Vodacom haiwezekani Kila siku mnatujazia page kisa hayo makampuni wewe endelea kutetea ugali si tunajua nyie ni wazee wa mgao Kila mwezi kwenye makampuni ya mrusi
Nilifikiri unasema wametoa kodiWale wadau wa 1X naona tigo na airtel wamerudisha.
Wale wadau wa 1X naona tigo na airtel wamerudisha.
SPORTBETY SPORTBETY SPORTBETY
ODDS: 39
CODE:- 16F2BD
Nickname:- DIDAH MCHOPS
View attachment 3115982
Mechi zimekaa kimtego sana leoNaona leo wadau wapo kinyonge sana inaonekana siku ya leo ni siku ya maumivu ....hii kazi ni ngumu sana!
Usithubutu kuweka mkuuWale wadau wa 1X naona tigo na airtel wamerudisha.
Wale wadau wa 1X naona tigo na airtel wamerudisha.
Usithubutu kuweka mkuu
Hakuna njia ya kutolea