Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 16,908
- 19,123
Sijajua tatizo linaanzia vodacom au wapi maana huko twitter kuna mtu ameweka hela toka jana helabet kutokea vodacom nako pia haijafika.Kiongozi kwema? Paripesa nimeweka balance masaa sasa yanakata hawajaongeza kwenye account chochote
Ni kwangu tuu ama?
Mimi nimeweka hela kupitia tigo imefika haraka sana.
Changamoto ya hizi kampuni ikifikia swala la kutaka support kwenye issue yoyote ni ngumu sana kukusaidia, yani wanaweza kukuzungusha hadi ikaisha wiki nzima.
Uzuri uliopo tu ikitokea kabisa imeshindika hela kuingia itarudi kwenye MPESA yako ndani ya wiki moja.
ONYO:
Kwa kuwa imeshakwama mara ya kwanza usirudie tena ku deposit itaenda kukwama njiani nayo labda kama ni kampuni nyingine tofauti na VODA.