Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nishaurini ni cashaout au nivumilie tu maana sioni dalili kabisa
Hapana kama ume cashout hela ndogo iache iende, jana nlimpa inter miami goal moja naada ya 1H bila bila nika cashout alibakia peke yake, nikalal naamka dk ya 90 +3 kapata goal la ushindi
 
Juve nae kashachomolewa na dakika za mwisho hizi dah
 
Team za huko ukiwekea over 0.5 hawatoi ukimpa kushinda anaruhus goli la kusawazisha mwishon kabisa
 
Hapana kama ume cashout hela ndogo iache iende, jana nlimpa inter miami goal moja naada ya 1H bila bila nika cashout alibakia peke yake, nikalal naamka dk ya 90 +3 kapata goal la ushindi
Mimi huwa sicash out ni bora ela iende kuliko nacash out mkeka unatiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…