Fallback
JF-Expert Member
- Aug 7, 2023
- 11,399
- 20,582
Hawa washenzi wanachomaNyumbu kagoma kuaibikia villa park
Hawa washenzi wanachomaNyumbu kagoma kuaibikia villa park
Huyumwamba nilishamsahau nahisi anaefwata chelseaMan U anatembea na kijiji
Kapita na vijiji vyoteHuyumwamba nilishamsahau nahisi anaefwata chelsea
Acha tu nduguKapita na vijiji vyote
Man u kafanya alichotumwa kwamba ashinde au adraw, amedraw sasa ww ulitakaje sheikh.Sisi km wawekezaji kwnn huyu man utd tusiazimie muhtasari kbs kwny majamvi yetu asionekane kbs
KabisaSisi km wawekezaji kwnn huyu man utd tusiazimie muhtasari kbs kwny majamvi yetu asionekane kbs
Atoe ata GG kama ku win mazima kashindwaMan u kafanya alichotumwa kwamba ashinde au adraw, amedraw sasa ww ulitakaje sheikh.
Kweli kabisa nilikumbuka nimeshaplace betKabisa
Na timu za Italy
Weekend nyingi zinabet
Leipzig nae tumempa over mpaka sasa ni moyaWiki hii za kichwa tu
Angalau hata katika laki 9 angesema ana laki 6 ili angalau achomoe laki aende nayo mdogo mdogo kwa mikeka ya odds 6 au 8 kwa selected team, akipigwa 50,000 anaachana na kubet ili 50,000 iliyobaki akachome nyama apate nguvu ya kutafakari pa kuipata laki 4 ya kujaziaKodi la 9, Elfu 50 huna 🤣🤣🤣
Acha KAMARI.
Utafilisika mpaka AKILI
Kamari haijawa mtatuzi sahihi wa shida za dharura,Ugonjwa wa Sonona inakuhusu
Najua matapeli Wengi mnoo wame ku PM baada ya matokeo ushkaji unaisha
Find alternatives utatue tatizo
Hongera mkuu ila bahati mbaya Chelsea ameleta za kuleta, mie hizi timu kubwa nikiona sielewi sielewi huwa nazibetia booking over 1.5 first half au corner ranges 1 - 4 first halfKuna odds saba za kufumba macho:
Madrid win
Baselona win
Chelsea win
Arsenal win
Man city win
Liverpool win
Mengine tumwachie mungu
Hahaha aloo. Chif nimekuja dm kwako naona kmyMatren yanaondoka mapema kabisa kha hata weather haijafunguka