Mstahiki Mea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 6,559
- 12,518
Bahati yake kaponyoka 😅
Lakini si umeambulia refund mkuu?
zAman nilikuwa sipend na naogopa sana maisha ya kubahatisha lakin leo nimejikuta naishi maisha hayo na mpaka nimezoeaMaisha sio mepesi hivyo, alafu kwanini mwanaume uishi kwa kubahatisha? Utalisha familia kweli!
Lini alikuja kukuomba hela ya dagaa mkuu?Maisha sio mepesi hivyo, alafu kwanini mwanaume uishi kwa kubahatisha? Utalisha familia kweli!
Jiue hutoiona tenaSioni sababu ya msingi serikali kutofuta michezo ya kubahatisha.
Mjinga anataka nikose hata mtajiHuyu vfb stutt kala nini leo
😀😀😀 kaka subiri kwanza ilo suala tutaongea vzr asubuhi, kwa sasa embu tupige dua huyu paok ashindeMaisha sio mepesi hivyo, alafu kwanini mwanaume uishi kwa kubahatisha? Utalisha familia kweli!
Kodi ambayo serikali inakusanya kupitia betting utailipa wewe na mkeo?Sioni sababu ya msingi serikali kutofuta michezo ya kubahatisha.