Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hawa sportybet vp hata cash out awaweki au wanathani watachomoka kwenye hili treni 🙄🙄🙄🙄🙄
 

Attachments

  • Screenshot_20241006-233110_SportyBet.jpg
    Screenshot_20241006-233110_SportyBet.jpg
    93 KB · Views: 32
Kazi imekwisha rebet ya matreni niliyo post leo imetoa licha ya kurebet na pesa kiduchu sh250 taslimu😁💥💥💥 odds 300 na kitu
Mkeka wa mechi 36💥💥💥 kanji hataki kutoa cash uot na port nimempa home draw no bet hadi dk 2-1
 

Attachments

  • Screenshot_20241007-000321_SportyBet.jpg
    Screenshot_20241007-000321_SportyBet.jpg
    67.6 KB · Views: 27
Hili nalo la kuanzia majizu limetoa pia licha limetoa kupitia ONE CUT 💥
 

Attachments

  • Screenshot_20241007-001319_SportyBet.jpg
    Screenshot_20241007-001319_SportyBet.jpg
    75.6 KB · Views: 29
Wakuu kwema kitambo sana asee nimepigika kama pakakwenye geto la msela betting itaniuanimepoteza lucky na umakin wote niliokua nao sjui shida nn ssahz lost kwangu kama njaa hv lazima nkutane nazo sema kumbe hata huku ni Vilio bas vzur kama tupo pamoja enewer nahtaj mwenye anajua site au app ambayo inaweza nipa odds za 1.3-1.9 niseme nazo au mwenye group wanazchapa live game naomba link nipate kampani huko mana naona tayar nishavamiwa na mafwele wa betting hata sipumui n vibano tuh
 
Kanjibai anapigwa vitasa tu ya asubuhi subuhi hii 💥💥💥💥💥 pesa ya supu
 

Attachments

  • Screenshot_20241007-073730_SportyBet.jpg
    Screenshot_20241007-073730_SportyBet.jpg
    199.5 KB · Views: 28
  • Screenshot_20241007-073827_SportyBet.jpg
    Screenshot_20241007-073827_SportyBet.jpg
    133.6 KB · Views: 28
Back
Top Bottom