Governor of Bettors-GB
JF-Expert Member
- Jul 14, 2013
- 11,049
- 10,502
Nadhani mods wameamisha Uzi huku nadhani utakuwa unahusu betting kwaiyo na comment zenu zote na mtoa Uzi zinaonekana HukuHahahahahaaaaa,nimeshangaa sana kumuona huku huyo mmama,yaan imekuwaje kafungua huu uzi
AsanteD964BB9 sportybet leo na kesho
Weka mzigo piga dua, kesho usiku tulale vizuriAsante
Nliwahi kaka blessUliwai ? Home odds 4.10 na home handicap ya 0-1 odds 10 [emoji16][emoji16]
Kabisa yan ,kuna hiyo correct score na kumpa team draw mazimaKitu ambacho huwa siwez kujaribu ni kucheza correct score
Tz nampa handicap ya 3 ashinde odds 1.14Kumekuchaaaaaaaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1241][emoji1241]
Sasa 3 naaanza kuzimwaga Codes kama 15 hivi,then uta edit au ku add, au place as it is
Dongoo tu
TANZANIA vs DRC CONGO over 1.5 with no doubt
Hivi hii UEFA huwamechi ni ugenini na nyumbani au huwa ni kama kombe la dunia ...mimi fijuagi mpira nijibuni nijue la kufanya maana ni kitu muhimu kwenye kusuka code
Mfano Israel n Italy hii mechi inafanyikia wapi Israel?