Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wakuu natafuta odds 2 kuna gemu znaanaza saa 9 dk 45
Subiri zikianza ndiyo fanya upembuzi yakinifu baada ya dk 15 hadi 25 za kipindi cha kwanza ...kama unabeti mechi za kutia pesa ndefu hiyo ndiyo kanuni mimi sijui chochote kuhusu mpira wa miguu ila nabet ndiyo maana timu zozote mimi nabetia ...kuna loop hole ambazo hata makampuni ya bet huwa awazitegemei vinakuja kujulikana baada ya mpira kuwa live ..unakuta timu imepew odds ndogo ila kwenye live inashambuliwa kwa asilimia 75% mara nyingi loop hole hizi utokea kwenye mechi za nchi na nchi
 
BOOM 💥💥💥💥 sasa hivi
 
Attachments

  • Screenshot_20241008-215602_SportyBet.jpg
    Screenshot_20241008-215602_SportyBet.jpg
    173.4 KB · Views: 7
HII NDIYO HALI YA LEO KWENYE BET HISTORY YANGU WIN AND LOSS nimetoa sadaka kama elfu 7000 kwa huo ushindi ....hii ni kanuni ya kubetia pesa ya kanji ...kila ninavyo kula naenda kwenye matreni yangu ya SGR kuya fanyia edit nikiamua siriasi naweza kuwa na mikeka ya matreni hata 200 kwa kutumia pesa ya kanji bai
 
Attachments

  • Screenshot_20241008-215910_SportyBet.jpg
    Screenshot_20241008-215910_SportyBet.jpg
    137.3 KB · Views: 5

Mtaji wa kuedit matreni
 
Attachments

  • Screenshot_20241009-052623_SportyBet.jpg
    Screenshot_20241009-052623_SportyBet.jpg
    146.1 KB · Views: 5
Huu hapa niliamua tu kukabia kwa juu under zenye odds kubwakubwa tu, timu zenyewe sizijui 😂😂
 
Attachments

  • Screenshot_2024-10-09-07-40-33-42_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
    Screenshot_2024-10-09-07-40-33-42_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
    147 KB · Views: 4
  • Screenshot_2024-10-09-07-40-56-72_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
    Screenshot_2024-10-09-07-40-56-72_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
    153 KB · Views: 3
Kama ni hivyo kweli basi ....wamejichanganya siku akitokea mtu mwenye akili wenyewe watafuta hiyo kanuni kwenye kampuni zao mfano mechi 5 wewe unacheza odds 1.06 mechi 4 na moja unacheza ngumu kumeza kama ya handicap home win 0-3 hapo odds zinaweza kuwa kama 10 hivi unatia sh 5000 ...hiyo mechi ikichana zingine zinakuwa zime win hivyo pesa yako inabaki salama inakuwa kama kanji kakupa kubeti bure ila ukila unapata pesa ....tumieni akili
mkuu hawakurudishii pesa bali wanakupa free bet alafu sio odd 0.06 ulizotaja kuwa wana odds maalum ni 1.35 ndo unahaki ya kupewa hiyo freebet
 
mkuu hawakurudishii pesa bali wanakupa free bet alafu sio odd 0.06 ulizotaja kuwa wana odds maalum ni 1.35 ndo unahaki ya kupewa hiyo freebet
Hata hiyo 1.35 siyo mbaya sana una weka na moja ngumu kumeza
 
Odds 21000 sportybet ...kosa watu wana chukua code bila ya kujiongeza kama kuflex ..one cut na kufanya positive edit kama huu mkeka hapa nilio post mimi nitatoa mingine kama 10 ndaniyake kwa pesa ya kanji bai

0D2750
 
HOOO BET MBAYA BET MBAYA ...KAMARI ZOTE MBAYA TENA SANA ISIPOKUWA KAMARI ZA BET YA MIPIRA NDIYO MAANA MIMI GENIUS MZIMA NINACHEZA PIA ..😁😁 MATUNDA YA PESA YA KANJI BAI ... BETIA PESA YAKE
 
Attachments

  • Screenshot_20241009-102021_SportyBet.jpg
    Screenshot_20241009-102021_SportyBet.jpg
    126.6 KB · Views: 2
Kudadadeki wanajf,
Siku ya leo sitakaa niisahau kwenye Maisha yangu ahera na dunia.
Nimepoteza hela yote 8 mil kwenye huu upumbavu

Ilaaniwe aviator alaaniwe mama wa aviator na wote wanaomiliki huu mchezo

Bila kupepesa macho mimi ni mtu mshenzi na fala Sana sipo smart hela yote imeenda .
Yaani leo mjenzi kapatikanika kwenye mti ,nimepata somo zito mno na lenye maumivu zaidi ya kifo

Naenda kuanza 1 kwa upumbavu wangu ,kweli kamari ni kutafuta umaskini kwa nguvu.

NILIKUWA NAOMBA KWA MUDA WAKO SHUSHA TUSI KUBWA KUHUSU UPUMBAVU WANGU!!

naniliu hapa sina mbele wala nyuma
 
Kudadadeki wanajf,
Siku ya leo sitakaa niisahau kwenye Maisha yangu ahera na dunia.
Nimepoteza hela yote 8 mil kwenye huu useng**

Pole I feel maumivu yako
 
Binadam tumepewa mwongozo wa maisha na Muuumba wetu, mwongozo usio na shaka ndani yake ni Qur'an.

Wewe unaufata mwongozo wa Qur'an?
 
Back
Top Bottom