Jaribu ku updateMbona haikubali Kiongozi?
Jaribu ku updateMbona haikubali Kiongozi?
Nilishawahi kukuambia ukaniona kama Sina akiliMpaka leo account ni empty jamaa wangu.......sitawaamini tena na waliponifikisha itoshe niseme imetosha😥
TunasubiriaAndaa 200 kutest milioni 90 kesho
SGR Mwisho wa Reli nazuka nalo
Tunasubiria
Kama nilijua ku cash out 😁😁😁😁nilipoona litimu la home linashambulia ila alifungi 😁😁Kazi kazi
Wakuu natafuta odds 2 kuna gemu znaanaza saa 9 dk 45Kama nilijua ku cash out [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]nilipoona litimu la home linashambulia ila alifungi [emoji16][emoji16]
Subiri zikianza ndiyo fanya upembuzi yakinifu baada ya dk 15 hadi 25 za kipindi cha kwanza ...kama unabeti mechi za kutia pesa ndefu hiyo ndiyo kanuni mimi sijui chochote kuhusu mpira wa miguu ila nabet ndiyo maana timu zozote mimi nabetia ...kuna loop hole ambazo hata makampuni ya bet huwa awazitegemei vinakuja kujulikana baada ya mpira kuwa live ..unakuta timu imepew odds ndogo ila kwenye live inashambuliwa kwa asilimia 75% mara nyingi loop hole hizi utokea kwenye mechi za nchi na nchiWakuu natafuta odds 2 kuna gemu znaanaza saa 9 dk 45
Tumia wakala yupo fasta.NAANDIKA KWA HERUFI KUBWA::: NINI KIMETOKEA 888STARZ HAIKUBALI KU DEPOSIT HELA????