Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hapo kuna madini ya almas haswa ...kuna siku nilisikia kuwa mechi 5 au ni kampuni tofauti au wameongeza mechi kutoka 5 hadi 8 ? Ngoja baadae nitakuja na madini ya aina hiyo ya return 😁😁

NAIPA JINA .....💥💥💥7 DECOY 1 ATTACK 💥💥💥
Kwa wale wafuatiliaji wa mambo ya vita kama russia na ukrain najua mmeni soma.
Karibu mkuu
 
Jama habari ya leo🤝🏻
Ni kwangu tuu Paripesa inanitesa ama ni kwa wote😑
Tangu juzi ya tarehe 5.10.2024 saa nne ya asubuhi niliweka pesa kupitia Vodacom line na mpaka leo hii naandika hii post account iko empty.
Nisaidieni wadau wenzangu.
Na nimewapigia vodacom wakaniambia pesa imeshaenda pande ile niwasiliane nao.
Sasa mawasiliano kwao Paripesa imekuwa tabu.
Msaada wadau wenzangu tafadhali.

Write to us​

Mostly natumia sportybet ama betwinner....
Hiyo ya one lost out of 5 or 8 ni nzuri sana kucheza ngumu kumeza mimi bado sija amini kama makampuni ya kamari yanaweza kufanya hilo kosa la kurudisha pesa kwa kukosa mechi moja kati ya 5 au 8 maana hapo lazima mkamaria makini ana tajirika ?
 
Alafu kacheza na kibonde kabisa yani hizi timu kuna namna sielewi nini kinatokea
mimi mwenyewe nina hisia kama zako aisee, make dah!
Yaani yuko nyumbani na anacheza na kibonde! kama mauzauza yaani.
 
Bradford – Newport County: 1
Crotone – Avellino: GG
Start 2 – Vigor: 1
Cerrito – Torque: 2
Kwa mikeka zaidi ya leo 07/10/2024 tembelea link hapa chini
 
Nimecheza mtego
 
Attachments

  • Screenshot_20241007-115907_SportyBet.jpg
    Screenshot_20241007-115907_SportyBet.jpg
    302.6 KB · Views: 3
jntmuo.jpg

MKEKA WA SIKU KWENYE PARIPESA⚽

📌 Betia PARIPESA, Kama Huna Akaunti Tengeneza Akaunti Ya PARIPESA 👇.

PariPesa

PariPesa

Promo Code: TIPS2424

Booking Code: FL1F3

📌 Pata Bonus Ya 250000 Kwenye PARIPESA Ukijiunga Leo Na Kuweka Promo Code TIPS2424
 
Hiyo ya one lost out of 5 or 8 ni nzuri sana kucheza ngumu kumeza mimi bado sija amini kama makampuni ya kamari yanaweza kufanya hilo kosa la kurudisha pesa kwa kukosa mechi moja kati ya 5 au 8 maana hapo lazima mkamaria makini ana tajirika ?
Wanakurudishia ileile hela uliyocheza kiongozi....
 
Jama habari ya leo🤝🏻
Ni kwangu tuu Paripesa inanitesa ama ni kwa wote😑
Tangu juzi ya tarehe 5.10.2024 saa nne ya asubuhi niliweka pesa kupitia Vodacom line na mpaka leo hii naandika hii post account iko empty.
Nisaidieni wadau wenzangu.
Na nimewapigia vodacom wakaniambia pesa imeshaenda pande ile niwasiliane nao.
Sasa mawasiliano kwao Paripesa imekuwa tabu.
Msaada wadau wenzangu tafadhali.
Binafsi nimelifutilia mbali li-app lao na nimewaachia elfu 19 wakae nayo,,,, ***** zao tangu juzi no salio,,, alafu cyo mara moja,,,,
Yaani unapigwa na pesa nayo fulu kukuletea mawenge,,,,, hawa jamaa yataka moyo kuingia huko
 
Back
Top Bottom