Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kama ni hivyo kweli basi ....wamejichanganya siku akitokea mtu mwenye akili wenyewe watafuta hiyo kanuni kwenye kampuni zao mfano mechi 5 wewe unacheza odds 1.06 mechi 4 na moja unacheza ngumu kumeza kama ya handicap home win 0-3 hapo odds zinaweza kuwa kama 10 hivi unatia sh 5000 ...hiyo mechi ikichana zingine zinakuwa zime win hivyo pesa yako inabaki salama inakuwa kama kanji kakupa kubeti bure ila ukila unapata pesa ....tumieni akili
mkuu hawakurudishii pesa bali wanakupa free bet alafu sio odd 0.06 ulizotaja kuwa wana odds maalum ni 1.35 ndo unahaki ya kupewa hiyo freebet
 
Hata hiyo 1.35 siyo mbaya sana una weka na moja ngumu kumeza
 
Odds 21000 sportybet ...kosa watu wana chukua code bila ya kujiongeza kama kuflex ..one cut na kufanya positive edit kama huu mkeka hapa nilio post mimi nitatoa mingine kama 10 ndaniyake kwa pesa ya kanji bai

0D2750
 
HOOO BET MBAYA BET MBAYA ...KAMARI ZOTE MBAYA TENA SANA ISIPOKUWA KAMARI ZA BET YA MIPIRA NDIYO MAANA MIMI GENIUS MZIMA NINACHEZA PIA ..😁😁 MATUNDA YA PESA YA KANJI BAI ... BETIA PESA YAKE
 
Attachments

  • Screenshot_20241009-102021_SportyBet.jpg
    Screenshot_20241009-102021_SportyBet.jpg
    126.6 KB · Views: 31
Kudadadeki wanajf,
Siku ya leo sitakaa niisahau kwenye Maisha yangu ahera na dunia.
Nimepoteza hela yote 8 mil kwenye huu upumbavu

Ilaaniwe aviator alaaniwe mama wa aviator na wote wanaomiliki huu mchezo

Bila kupepesa macho mimi ni mtu mshenzi na fala Sana sipo smart hela yote imeenda .
Yaani leo mjenzi kapatikanika kwenye mti ,nimepata somo zito mno na lenye maumivu zaidi ya kifo

Naenda kuanza 1 kwa upumbavu wangu ,kweli kamari ni kutafuta umaskini kwa nguvu.

NILIKUWA NAOMBA KWA MUDA WAKO SHUSHA TUSI KUBWA KUHUSU UPUMBAVU WANGU!!

naniliu hapa sina mbele wala nyuma
 
Nimepoteza hela yote 8 mil kwenye huu useng**

Pole I feel maumivu yako
 
Binadam tumepewa mwongozo wa maisha na Muuumba wetu, mwongozo usio na shaka ndani yake ni Qur'an.

Wewe unaufata mwongozo wa Qur'an?
 
Pambafu

Kuna siku niliingia nikawa nakiangalia kidenge naona kinaruka hata hakifiki odds ya 5 yaan karibia mara nne kinaishia 1.2 odds nikaona huu ni ujinga nikatoka chap
 
😇😇😇KARIBU SANA KWA WAKAMARIA KWA HESHIMA NA TAADHIMA YA KUKUKARIBISHA WACHA NIKUTUMIE CODE MOJA YA
OFA YA ODDS 205 😇😇😇sportybet

631248
Binadam tumepewa mwongozo wa maisha na Muuumba wetu, mwongozo usio na shaka ndani yake ni Qur'an.

Wewe unaufata mwongozo wa Qur'an?
 
Naomba kujua kama kuna mtu ana mawasiliano na hawa Paripesa anipe jamani.
Tangu tarehe 5 mpk leo pesa imeng'ang'ania kwao kwa sababu gani jamani?
 
Back
Top Bottom