akatiwanya
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 674
- 868
Karibu mkuuHapo kuna madini ya almas haswa ...kuna siku nilisikia kuwa mechi 5 au ni kampuni tofauti au wameongeza mechi kutoka 5 hadi 8 ? Ngoja baadae nitakuja na madini ya aina hiyo ya return 😁😁
NAIPA JINA .....💥💥💥7 DECOY 1 ATTACK 💥💥💥
Kwa wale wafuatiliaji wa mambo ya vita kama russia na ukrain najua mmeni soma.