Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

KUBET SIO KAZI TUTAFUTE KAZI ZA KUFANYA
 
Attachments

  • Screenshot_20241011_215946_Chrome.jpg
    Screenshot_20241011_215946_Chrome.jpg
    225.3 KB · Views: 14
Wakenya wamepata goli ila Egypt mpuuzi...mikeka ya matrsni ya hakika nimepost miwili siyo huu
Kama nilivyo sema💥💥💥💥
 
Attachments

  • Screenshot_20241011-223526_SportyBet.jpg
    Screenshot_20241011-223526_SportyBet.jpg
    168.5 KB · Views: 20
naona watu mnalia na tunisia vipigo vingine mnajitakia tu maana wengi mnabetia ukubwa wa jina la timu bila uchambuzi wala kufatilia facts za timu alafu tunisia wachovu balaa kwenye kundi tunisia ndio anashika mkia hivo acheni kubeti kimazoea timu nyingi sahivi afrika zimeamka
 
Tunisia anaongoza ligi ya kundi lao pamoja na kipigo..
 
naona watu mnalia na tunisia vipigo vingine mnajitakia tu maana wengi mnabetia ukubwa wa jina la timu bila uchambuzi wala kufatilia facts za timu alafu tunisia wachovu balaa kwenye kundi tunisia ndio anashika mkia hivo acheni kubeti kimazoea timu nyingi sahivi afrika zimeamka
Watu kama huyu ni wapumbavu...kama ulikuwa unajua hayo kweli mbona ukusema tangia mwanzo ...unaleta uhuni wa mkanisani wa kujiita mitume na manabii ...
 
naona watu mnalia na tunisia vipigo vingine mnajitakia tu maana wengi mnabetia ukubwa wa jina la timu bila uchambuzi wala kufatilia facts za timu alafu tunisia wachovu balaa kwenye kundi tunisia ndio anashika mkia hivo acheni kubeti kimazoea timu nyingi sahivi afrika zimeamka
Leta msimamo wa hilo kundi weka (Screenshot) hapa tuone.
 
Back
Top Bottom