Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wakamalia sportybet Nina hili Salio nataka mpaka mwakani mwezi wa 6 niwe na million 10 Kwa ajili ya ujenzi naombeni mawazo yenu nitembee vipi
Sio Kwa ubaya ila nikushauri tu betting Haina formula ni ubahatishaji tu , VP je kama ukipoteza pesa yote🤔 .Bora utafute biashara ufanye mana ata biashara ikizingua Huwa haiendi na mtaji , mtaji utabaiki nao ila sio betting, inaliwa kama ilivo N.B beti kistaarabu, mipira haitabiriki statistics odds ukubwa na udogo wa timu ni nje ya uwanja, ukiingia uwanjani shughuli Haina mwenyewe.
 
8hmx9n.jpg

MKEKA WA SIKU KWENYE PARIPESA âš½

Booking Code: 3ZB2J

Jisajili PARIPESA Hapa👇.

PariPesa

PariPesa

Promo Code: TIPS2424

📌 Pata Bonus Ya 250000 Kwenye PARIPESA Ukijiunga Leo Na Kuweka Promo Code TIPS2424
 
Laana yote ya dunia iwe juu ya zambia.
Na tuseme amen
We si ulijipangia matokeo 😂 acha kuwatukana wenzio 😂 we ulifosi matokeo yaje unavotaka wewe🙌🤣, pole ndo betting hyo tuko nje ya uwanja tunawapangia wadau matokeo watokeje
 
huyu ndo mwanaume kanji....unarud home saa 2 umeshachana jambo lako,hasira unammalizia mkeo
 
Mambo ni magumu wachanitume treni za HALF LOW STRESS ODDS 379 HIVI MSILIACHE

82C4CD

Odds 163 very low stress

8A9B4A
 
Zambia ashafanya mambo ya ghana jana.. acha nisubiri tu ligi zirudi, hizi timu za taifa jau
Mimi sibeti kabisa hadi ligi zirudi, sizielewagi timu za taifa kabisa yani sijui huwa wanachezaje magoli hakuna ya kueleweka timu hazieleweki pia
 
Sio Kwa ubaya ila nikushauri tu betting Haina formula ni ubahatishaji tu , VP je kama ukipoteza pesa yote[emoji848] .Bora utafute biashara ufanye mana ata biashara ikizingua Huwa haiendi na mtaji , mtaji utabaiki nao ila sio betting, inaliwa kama ilivo N.B beti kistaarabu, mipira haitabiriki statistics odds ukubwa na udogo wa timu ni nje ya uwanja, ukiingia uwanjani shughuli Haina mwenyewe.
Nimekumbuka mechi ya mwisho ya Celtic na rose county ilikua balaa
 
Back
Top Bottom