Undetectable
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 1,570
- 2,076
Ushauri kama huu ungekuwa wa muhimu sana kabla ya mechi kuchezwa.naona watu mnalia na tunisia vipigo vingine mnajitakia tu maana wengi mnabetia ukubwa wa jina la timu bila uchambuzi wala kufatilia facts za timu alafu tunisia wachovu balaa kwenye kundi tunisia ndio anashika mkia hivo acheni kubeti kimazoea timu nyingi sahivi afrika zimeamka
kwahiyo nyie hamna macho ya kuona au akili ya kujiongeza hadi muambiwe hivyo nyinyi mnaweka tu mikeka bila kutazama statistics za timu yaani hamjui chochote kuhusu timu mnazobetia mpo kama nyumbu kufata mkumbo tu wala hamjui mnataka nini kwenye betting.!Ushauri kama huu ungekuwa wa muhimu sana kabla ya mechi kuchezwa.
naona watu mnalia na tunisia vipigo vingine mnajitakia tu maana wengi mnabetia ukubwa wa jina la timu bila uchambuzi wala kufatilia facts za timu alafu tunisia wachovu balaa kwenye kundi tunisia ndio anashika mkia hivo acheni kubeti kimazoea timu nyingi sahivi afrika zimeamka
View attachment 3122441
MKEKA WA SIKU KWENYE π£ππ₯ππ£ππ¦ππ₯
Booking Code: BX9NJ
Huna Akaunti Ya PARIPESA ?
Jisajili PARIPESA π
PariPesa
PariPesa
Promo Code: TIPS2424
PariPesa Android Appπ
https://cutt.ly/EwZzWppF
kabla ya jana ktk kundi lao wote walicheza game 2, tunisia alishinda zote akiwa na pts 6, commoro alikua na droo 2, Madagascar na mwenzake walikua na droo 1 na kipigo kimoja!naona watu mnalia na tunisia vipigo vingine mnajitakia tu maana wengi mnabetia ukubwa wa jina la timu bila uchambuzi wala kufatilia facts za timu alafu tunisia wachovu balaa kwenye kundi tunisia ndio anashika mkia hivo acheni kubeti kimazoea timu nyingi sahivi afrika zimeamka
Anataka kutuingiza mjini bila ndalakabla ya jana ktk kundi lao wote walicheza game 2, tunisia alishinda zote akiwa na pts 6, commoro alikua na droo 2, Madagascar na mwenzake walikua na droo 1 na kipigo kimoja!
mkuu ulichoandika hapo sio kweli,
View attachment 3121940
MKEKA WA SIKU KWENYE PARIPESA β½
Booking Code: 3ZB2J
Jisajili PARIPESA Hapaπ.
PariPesa
PariPesa
Promo Code: TIPS2424
π Pata Bonus Ya 250000 Kwenye PARIPESA Ukijiunga Leo Na Kuweka Promo Code TIPS2424
Mkuu hebu kwanza tuonyeshe bet uliyo muua Tunisia πnaona watu mnalia na tunisia vipigo vingine mnajitakia tu maana wengi mnabetia ukubwa wa jina la timu bila uchambuzi wala kufatilia facts za timu alafu tunisia wachovu balaa kwenye kundi tunisia ndio anashika mkia hivo acheni kubeti kimazoea timu nyingi sahivi afrika zimeamka
Wajuaji ni wengi humu mkuu, wasikupotezee muda. Huyo mtu atuoneshe uchambuzi wake kabla ya mechi lasivyo atulie.Mkuu hebu kwanza tuonyeshe bet uliyo muua Tunisia [emoji23]
Halafu utuonyeshe na kundi ambalo Tunisia anaburuza mkia.
Kisha malizia na kutuonyesha game tatu za nyuma alizocheza Tunisia kapoteza ngapi na game tatu alizocheza Comoro kashinda ngapi?
Hizo Static zako za Tunisia mbovu umeziokota wapi mkuu?
Hii ni bahati nasibu tu na Tunisia alikua favorite by any means...... ni vile tu mpira unadunda
So acha kuwaona wenzako hawajui kubet
Ngoja nijisemee mwenyewe.kwahiyo nyie hamna macho ya kuona au akili ya kujiongeza hadi muambiwe hivyo nyinyi mnaweka tu mikeka bila kutazama statistics za timu yaani hamjui chochote kuhusu timu mnazobetia mpo kama nyumbu kufata mkumbo tu wala hamjui mnataka nini kwenye betting.!
Punguza ujuaji wa kishamba, huo uchambuzi wako uwe unaleta kabla ya mechi au tuoneshe mkeka wako uliochambua vema ukatusua, acha mboyoyo. Wapuuzi kama wewe hamtakiwi kwenye uzi huu.kwahiyo nyie hamna macho ya kuona au akili ya kujiongeza hadi muambiwe hivyo nyinyi mnaweka tu mikeka bila kutazama statistics za timu yaani hamjui chochote kuhusu timu mnazobetia mpo kama nyumbu kufata mkumbo tu wala hamjui mnataka nini kwenye betting.!
hahaahaah pole sana kwa kichapo kikali mlichopata msiniletee hasira zenu sina cha kuwasaidia kajambeni mbele kule.!Punguza ujuaji wa kishamba, huo uchambuzi wako uwe unaleta kabla ya mechi au tuoneshe mkeka wako uliochambua vema ukatusua, acha mboyoyo. Wapuuzi kama wewe hamtakiwi kwenye uzi huu.
Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
View attachment 3122222
WAKE UP TO BOOM ON PARIPESA β½
Betia PARIPESA. Haupo PARIPESA? Jiunge PARIPESA Kwa Kubonyeza Link Hizo Hapo Chini Na Promo Code Weka Neno TIPS2424
Jisajili Hapa π
PariPesa
PariPesa
Promo Code: TIPS2424
Code: 3AK4J
π Pata 280000 Bure Kwenye PARIPESA Ukijiunga Leo Na Kuweka Promo Code TIPS2424 Na Kudeposit.
Mbona mnamuacha Guinea ana odd ya 1.70 za Bure kabisa? Wale wahabeshi hawana msuli wa kuizuia Guinea kushinda.