Undetectable
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 1,570
- 2,076
Ushauri kama huu ungekuwa wa muhimu sana kabla ya mechi kuchezwa.naona watu mnalia na tunisia vipigo vingine mnajitakia tu maana wengi mnabetia ukubwa wa jina la timu bila uchambuzi wala kufatilia facts za timu alafu tunisia wachovu balaa kwenye kundi tunisia ndio anashika mkia hivo acheni kubeti kimazoea timu nyingi sahivi afrika zimeamka