Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

naomba mnifariji mtaji wajomba.... Sijastake naona kukaa Bora kujaribu bahati, nimetupia tu humu harafu ushinde harafu mniambie we hukuweka😆
 
orlando pirates ni timu la kifala sijapata kuona!.
hii timu inaingia rasmu kwenye blacklist, takataka kabisa
 
Yan team mara ya mwisho kufungwa nyumbani ni January af leo anataka kutingisha meza yenye vinywaji vya gharama.!!!
 
Back
Top Bottom