MFALME WETU
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 4,071
- 10,028
SportyBet wana huo uhuni sana, ila humu much know watakwambia una wengemi mbona hawa sportybet siwaelewi?????
kuna siku nilitandika mkeka vizuri tu. baadae nakuja kuuangalia unaendeleaje nikakuta wamenibadilishia timu kwenye ule mkeka...
jana tena nilitandika mkeka wa siku 3 wa over 0.5 tupu mechi zote cha ajabu usiku naangalia maendeleo ya mkeka nakuta mechi mbili za aseno na bayen waniekea under 0.5 na mkeka umechanika.
sasa hii kitaalamu imekaaje na kuna mtu ashawahi kuexperience hii kitu?????View attachment 3130637
Lakini mbona kwenye mkeka wako hakuna shida yoyote? Izo games za Arsenal na Bayern kipindi cha kwanza halikupatikana goli lolote so SportyBet wako sawa