Albinoomweusi
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 3,433
- 8,585
Mzee cashout ilikuwa 70 ikashuka hadi 22 nikasema heri nusu shari wakati alibakia yeye nal Ahly egypt nile laki 2Uwe unajikaza kucash out mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee cashout ilikuwa 70 ikashuka hadi 22 nikasema heri nusu shari wakati alibakia yeye nal Ahly egypt nile laki 2Uwe unajikaza kucash out mkuu
Mimi hadi nimemute update nasubir tu gemu iishe nikachekiDah kumbe huyu atletico madrid ni msenge kiasi hichi
Atletico boya sana yanHatimae city kashinda japo kwa machozi jasho na damu haya zamu ya atletico sasa
Mimi hadi nimemute update nasubir tu gemu iishe nikacheki
[emoji3][emoji3][emoji3]hyu mjinga anaweza kukuua kwa pressure yanAJAX wanacheza Redeee na mwenzie
Nliweka 9 katoa 18Game za Man City na Chelsea option nzuri ya kubetia leo ni Corner over 10.5
Msijesema hamkuambiwa
Ila kubet ni noma sana ... Yaani nimechagua sare ndani ya dakika 10 za mwanzo ..... Kasimpasa mapemaaaa dakika ya kwanza tu kaweka aseeee.....
Kashinda mkuu ila stress yake haikua ndogoAtletico boya sana yan
Omba goli hata moja sasa utasubiri hadi uchoke kanji ana majiniIla kubet ni noma sana ... Yaani nimechagua sare ndani ya dakika 10 za mwanzo ..... Kasimpasa mapemaaaa dakika ya kwanza tu kaweka aseeee.....
chomoaaaa harakaAchomoe au asubiri!?
View attachment 3130511
Broo ubarikiwe sana mkuu. Yan sana ujue sijaenda hata kufatilia matokeo yake yakoke .Kashinda mkuu ila stress yake haikua ndogo
Daaaah yani siamini ,huyu Atletico alinifanya mbaya .Kashinda mkuu ila stress yake haikua ndogo
Mimi naanami kubeti mechi za vilabu ni ngumu, kuliko, timu za taifa.Ila kubet ni noma sana ... Yaani nimechagua sare ndani ya dakika 10 za mwanzo ..... Kasimpasa mapemaaaa dakika ya kwanza tu kaweka aseeee.....
Ulistake ngapi na uka cash ngapNisingecashout muda huu ningekuwa nasubiria 217k
Man city kaniudhisana
Nilitake laki nika cashout elfu 22 ilikuwa nishinde 217k na kwa ufupi mkeka umewinUlistake ngapi na uka cash ngap