Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wanachotaka kukifanya makabi haifa sio uungwana kabisa., hawa jamaa hawajui kama watu tunabet
 
Sportybet

Odds:4.37
 

Attachments

  • Screenshot_20241029-102020.jpg
    115 KB · Views: 5
Nimewithdraw Paripesa mpaka Leo siku ya one pesa haijaingia kwenye simu yangu kwenye akaunti ya Paripesa imetoka. Nikiwasiliana na huduma kwa wateja hakuna majibu ya kuridhisha. Msaada tafadhali anayejua njia ya kufanyanipate pesa yangu.
Tumieni Betwinner, mzigo wako unaupata ndani ya dk 1 na option zote za 1xbet unazipata!!

Paripesa mtapigwa sana
 
Tumieni Betwinner, mzigo wako unaupata ndani ya dk 1 na option zote za 1xbet unazipata!!

Paripesa mtapigwa sana
Kabla ya kubet lazima ufanye research ya kampuni husika kuanzia mtaji wao..Betting nyingi ukishinda kuanzia milioni 15,000,000 kupata hela mtihani unaweza kuzungushwa mpaka uchoke au wanaweza futa hata mkeka..kuna jamaa yangu alishinda jackpot ya kampuni moja hivi na wakampigia simu watamtumia milioni 30,000,000 akatumiwa milioni 3,000,000 kwenye akaunti..kuwa makini una state kampuni gani hasa hela ukiweka kubwa

Au tupeane uzoefu ambao mmewahi shinda dau kubwa
 

BASKETBALL🏀 ON PARIPESA

Code: XFGYY

Jisajili PariPesa Na Kuweka Promo Code TIPS2424 Upate Bonus 👇

Jisajili Hapa 👇

PariPesa

PariPesa

Promo Code: TIPS2424

Tumia Promo Code TIPS2424 Wakati Wa Kujisajili Upate Bonus Ya Asilimia 200.
 
Hizi odds hapa ni mtego aiseeee 🤔🤔🤔

View attachment 3137700
Chukua 30k igawe mara tatu weka home, away na draw hapo utapoteza 20k kwa sababu lazima upate option Moja lakini hiyo 20k unarudi.


Mfano akiwin home unapata 140k, hasara 20k, then faida 110k umerudishwa pesa Yako na faida ya 110, ikiwa draw unapata 110-30k faida 80k, ikiwa away 200l-30k faida 170.


Mwisho wa siku bado upo kwenye utamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…