Mr mutuu
JF-Expert Member
- Jan 27, 2023
- 2,869
- 14,501
😃😃 Akili Gani hiziChukua 30k igawe mara tatu weka home, away na draw hapo utapoteza 20k kwa sababu lazima upate option Moja lakini hiyo 20k unarudi.
Mfano akiwin home unapata 140k, hasara 20k, then faida 110k umerudishwa pesa Yako na faida ya 110, ikiwa draw unapata 110-30k faida 80k, ikiwa away 200l-30k faida 170.
Mwisho wa siku bado upo kwenye utamu