Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mnakosaga hela kipuuz hvhv sikiliza hsia zako kuna boya mmoja kaja kwangu mkuu nitengezee tren bas nikamsukia mkeka wa wiki mbili ndani yake yupo real madrid na barcelona afu yupo wesham na man u mi nikampa barc na westiham yule fala alivyoona nimewapa hao akaniona bonge la kiaz na kunitangaza kwawana hajui kubet yule ona kampa westhm wakati ana odd kibao kwa upumbavu wake ukaufuta mkeka nikasema haya nyoko wewe juz kaja kasema bora ningekusikiliza asee tren limetik naomba nisukie mwingine nikamjibu tako lako poteaWakuu mkeka wangu wa wikend
Campuny betway
Steka 25000
Codi 106CD4D5
Naombeni ushauri KUHUSU maboresho kabla ya kuplace bet
niliyapa dc, na yanachana!Kaliwa chuma
Moya
Kasepa na kijijiAL NASRAT[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
Leo mikeka mingi imetiki upepo ulikuwa vema sana naona wengi wame enjoy ..ngoja tuangalie kesho
Ahaa al nasr kaharibu choko huyuLeo mikeka mingi imetiki upepo ulikuwa vema sana naona wengi wame enjoy ..ngoja tuangalie kesho
Mtu anashinda mechi tano mfufulizo halafu anakufa kwa katimu kanakochechemea kweli betting ngumuAhaa al nasr kaharibu choko huyu
Karibu sana upo active sana huu uziKumbe huu uzi huwa upo active nlikua naona tittle kwa juu juu🔥
Nmefurahi sana jaman na mm ni muwekezaji mwenzeni naombeni mnipokee kwa mikono miwili nmepanga kwa khanji kwenye nyumba zake za mtaa wa SportyBet
Karibu sana Group lenye faraja kuliko Wanawake zetuKumbe huu uzi huwa upo active nlikua naona tittle kwa juu juu🔥
Nmefurahi sana jaman na mm ni muwekezaji mwenzeni naombeni mnipokee kwa mikono miwili nmepanga kwa khanji kwenye nyumba zake za mtaa wa SportyBet
Thanks mkuu nmekaribiaa🙏💪Karibu sana Group lenye faraja kuliko Wanawake zetu
Ukichaniwa bado una enjoy tu na Wana
Mikeka kama yote
Sawa nimekutumia la mechi 50 la 90 millionsMm napanda matren marefu yenye odds1000 na kuendelea
timu kuanzia (18 mpaka 40) au zaidi
Likichanika silaumu mtu nmeshajitoa muhanga nina ugomvi na khanji, mtu akipata la dizaini hii af la sportbet anisogezee nitamshukuru sana
Japokuwa liwe na matumaini japo kwa mbali ata zikichana sana zichane wata tano kushuka chini apo tu najua inakua tu ni bahati mbaya za hapa na pale katika uwekezaji💪
#SILAUMU MTU#