Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Binafsi sijawahi waelewa singida,, na magoli wanayofungaga ni kama ya mazingaombwe zingaombwe,,,,Wakuu yanga ana odd 2 huko Betwinner
Yanga nao wanajitafuta angalia mechi ya coastal sema wanasema kale katimu branch lakini ukicheza mpira wa haki bila uingiliwaji wowote naona kama mechi itaenda sare kumbuka singida hajafungwa..optional nzuri ni win or draw kwa YangaBinafsi sijawahi waelewa singida,, na magoli wanayofungaga ni kama ya mazingaombwe zingaombwe,,,,
Kwa mpira ule sijajua wataingia kwa staili gani kwenye hii mechi ila wakifunguka kijinga watapigwa za kutosha na inabidi wabadilike kwa ile staili yao, timu walizokutana nazo zimefanya makosa ya wazi sana na kupoteza nafasi za kijinga jinga sana
Ila mpira dk 90 ngoja tuone, ijapokuwa naona yanga win na ikibidi 2+ yes
🤣🤣🤣🤣Binafsi sijawahi waelewa singida,, na magoli wanayofungaga ni kama ya mazingaombwe zingaombwe,,,,
Kwa mpira ule sijajua wataingia kwa staili gani kwenye hii mechi ila wakifunguka kijinga watapigwa za kutosha na inabidi wabadilike kwa ile staili yao, timu walizokutana nazo zimefanya makosa ya wazi sana na kupoteza nafasi za kijinga jinga sana
Ila mpira dk 90 ngoja tuone, ijapokuwa naona yanga win na ikibidi 2+ yes
Mseng sana huyo na mwenzie al nassrDortmund matrako yske
Saiv nimehamia huko, naomba code mkuuWakuu yanga ana odd 2 huko Betwinner
Dortmund matrako yske
Wakuu leo kuna gemu nyingi sana
Mamelod
Yanga
City vs Tot
Arsenal
Man U
Benfica
Bayern
Hatuwez pata odds 2 hapa kweli?
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Ipo pouwa sana sema changamoto timu nyingi ambazo zimepewa kushinda zipo away mara nyingi ni rahisi kuchana mkeka labda kuzipa win or drawView attachment 3138895View attachment 3138896💯💯💪💪💪 your brain
Bayern sasa hivi hatabiriki