loliondokwetu
JF-Expert Member
- Feb 21, 2018
- 1,376
- 1,768
Kuna uwezekano mkubwa city akakuchania
Kuna uwezekano mkubwa city akakuchania
Ni ngum mnooKuna uwezekano mkubwa city akakuchania
🙏Shukrani mkuuHii👆 ni code yaleo wengi wameomba nichangie mchango wangu katika hili ilikusapotiana.hizo ni odds 2 nakitu mjanja atacheza section yake mapema.
Kila rakheli.
WamechanganyikiwaHii nini hii🙄
3 or more Goals in a rowHii nini hii🙄
Mbona ipo sawa hio mkuu, ni score 3 in a row.Hii nini hii[emoji849]
🙏🙏🙏Shukrani mkuu
Bookies hawajawahi chemka juzi barca alipewa odd 3 so utasema walichemka na hizo odd za yanga so we ukiona hivo fata kama unajiamini wao wanatumia hesabu.ww unatumia hisia.sisi tunabet na bookies nao wanabet. bookies nao wanachana sana tu. mfano mechi ya Ihefu vs. Yanga bookies wamechemka.
kinachowabeba bookies, kwenye mikeka yetu wanatafuta ichane mechi moja. sisi tunatafuta ziwin mechi zote.
🤣🤣🤣🤣YOUNG AFRICANS 💥💥💥💥👏👏👏👏👏👏
Winning Crew
Mnaotupangia idadi ya magoli ya kufunga mtachakaaa saana🤣🤣🤣
Hawa juve hawa..mwisho leo kubetia timu za italia🤣🤣🤣🤣
Kama ni hivyo hiyo option ni pesa ya bure 😁😁😁😁 mimi siku zote niliyua ni timu yoyote isipate goli 33 or more Goals in a row
Hapo inatakiwa ndani ya mchezo itokee timu ianze kufunga mfululizo bao 3 kabla mpinzani hajafunga goli