Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Single ya yanga hiyo odds 35.
Screenshot_20241030-183338_Betika Tanzania.jpg
 
Unaweza usiamini

Ila hii mechi YOUNG AFRICANS vs SINGIDA Black Stars
Overall 1.5

Young Africans over 1.5,, mpe Goal Mbili

Hii Mechi watu watanyooshana kisawasawa
 
Usiiamini sana ligi ya carabao,huwa wanachezaga kama wako mazoezini,na mara nyingi huchezesha kikosi cha pili.
 
Hii nini hii🙄
 

Attachments

  • Screenshot_20241030-204331_SportyBet.jpg
    Screenshot_20241030-204331_SportyBet.jpg
    223 KB · Views: 2
Hii nini hii[emoji849]
Mbona ipo sawa hio mkuu, ni score 3 in a row.

Unaweza kuta
Ilikuwa 2 kwa 0 jamaa akachomoa ikawa 2 kwa 1 ,hapo inaanza na upya

Ukiona hivo ukue huyo mwenye 3 hakushinda zote bila kuruhusu goli
 
Back
Top Bottom