Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Akaunti nilitengeneza na nilifanikiwa kuweka kiasi cha shilingi 10,000. Shida ni kwamba kila nikitaka kuplace bet naletewa ujumbe huo wa maandishi mekundu
Nikiwasiliana nao wanasema akaunti ipo kwenye uhakiki. Miezi mitano sahz naambiwa hivyo.
View attachment 3112021
Pole sana!
Ila mwamba ukizinguliwa si unahama Kampuni, make una hela yako bet kwingine na makampuni kibao. Labda kama una Hisa apo sawa![emoji188][emoji188]
 
Pole sana!
Ila mwamba ukizinguliwa si unahama Kampuni, make una hela yako bet kwingine na makampuni kibao. Labda kama una Hisa apo sawa!
emoji188.png
[emoji188kuha
 
Utasababisha watu wasiwe wana post odds humu..maana kila mtu akiwa anapost mikeka ataonekana agent wa kanji...issue kubwa kwenye kila mikeka test huyo mtu anayetuma mikeka yake huwa inatick? Ifanyie research kwanza...
Yeah ila wanaotuma na link za kujisajili ndo ma agent, odds una type tu kawaida wana tunaishi nazo
 
Usiku kutaaaam

Nasubiria tu Porto apate Goal Moja nikanunue Biriyani la Mechi ya Simba

PORTO naiona live hapo hapo SPORTYBET, Madogo wamekazaa ila wanauzia tu Mechi yote anayo Porto
Screenshot_20241101-004251.png
 
Back
Top Bottom