Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

FB0AC1
sportbet

hii ni kwa wale wanastake fedha ndefu odd 4 za ukweli unaweza kuboresha kwa kuongeza zaidi

Winning probability 96% mengine tunamwachia Mungu
 
Mm napanda matren marefu yenye odds1000 na kuendelea
timu kuanzia (18 mpaka 40) au zaidi
Likichanika silaumu mtu nmeshajitoa muhanga nina ugomvi na khanji, mtu akipata la dizaini hii af la sportbet anisogezee nitamshukuru sana
Japokuwa liwe na matumaini japo kwa mbali ata zikichana sana zichane ata tano kushuka chini apo tu najua inakua tu ni bahati mbaya za hapa na pale katika uwekezaji💪
#SILAUMU MTU#
tren zangu huwa zina odds 50000 kwenda juu na huwa inachanaga mbili kama unaweza ku edit nikutumie mkeka
 
jana tarehe 29 tulifungua code nahela ya vocha tulipata kwa style hii.
 
Attachments

  • IMG_20241030_124530.jpg
    IMG_20241030_124530.jpg
    488.3 KB · Views: 2
Sijui ninaugonjwa gan sijawai kutengeneza mkeka wenye odds ndogo nikiwekaga mdogo huwa wa odd5000 au buku kwenye0hy mikeka ikilost mikeka mitatu wa nne win mwez uliopita nimepiga betipawa m50 kwa odd elfu 40 kwa walio tembelea huko nazan mnakutanaga na tangazo pale juu
 
Tunaomba codes za ilo treni mkuu
 
Sijui ninaugonjwa gan sijawai kutengeneza mkeka wenye odds ndogo nikiwekaga mdogo huwa wa odd5000 au buku kwenye0hy mikeka ikilost mikeka mitatu wa nne win mwez uliopita nimepiga betipawa m50 kwa odd elfu 40 kwa walio tembelea huko nazan mnakutanaga na tangazo pale juu
😂😂😂
 
Back
Top Bottom