Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Reading na brighton et dakika ya nane GG daah, betting bhana ni matatizo
 
Hebu nipeni odd nne tu nijaribu kubet kwa siku ya leo maana jana mtaji uliisha sasa kuna mtu kanikopesha 10 eti tuizalishe hahahhaaaa ikiliwa sasa sijui itakuaje
 
Ligi ya england full suprise, chelsea yeye anaondoka na mkoa baada ya liver kuondoka na kijiji, nani anafata huko mbele mie nawe hatujui.........
 
Mie nipo hivi
Derby
Young boys
Basel
Roda
Ajax
Kopenhagen

All goal first half 1+

Mungu plllz suprise isitokee hapa
 
upload_2016-8-20_18-24-42.png
 
Betting ni mchezo Wa bahati anayejaribu ndiye anayepata bahati hapa tuna jaribu tu hatuna uhakika tunachokifanya Leo kuna watu wameweka mkeka wameliwa Na kuna walioweka timu moja wameliwa hiyo ndio bahati ilivyo Mungu saidia ulinde mikeka iliyobaki tushinde
 
Yaani Arsenal unamfunga ila unashindwa mfunga Burnley
Watford anakufunga
 
Back
Top Bottom