kluger
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 2,093
- 1,905
Jah blessKETE YANGU YA MWISHO
JAH BLESS
Jah blessKETE YANGU YA MWISHO
JAH BLESS
Nimeweka ov 1.5 kwa leicester v arsenal na nimeliwaCheza ya magol haina presha sana, me nakomaa na 2+
Ajax.legia warzawa.livepool....,villareal....................Leo Mhindi katembea na nyingi sana
Achana na sisi.Wabongo noma.Haya ndiyo mnayowaza!Finito.Why don't you feed your brains with substance Yaani wamewamaliza kabisa.It's a pity.
Jua tunalipa kodi huyo baba yako huo mshara anaolipwa Na serikali jua kodi zetu zinachangia wewe unaenda chooni hizi ni kazi kama kazi nyingine bunge limepitisha Sheria rasmi tuko hapa kwa kufuata Sheria za jamuhuri ya muungano Wa Tanzania na ni moja ya walipa kodi Wa serikali hiii kama watanzania wapenda maendeleo endelea Na ujinga wako ukikua utajua nini maana ya kutafuta maisha sasa najua ugali Wa shikamoo una kuchanganyaWabongo noma.Haya ndiyo mnayowaza!Finito.Why don't you feed your brains with substance Yaani wamewamaliza kabisa.It's a pity.
all the best chiefJmosi na j2
Kokolo
-St johnstone v celtic over 1.5
-Zenit v cska moscow over 1.5
-Rangers v motherwell over 1.5
-Nantes v monaco BTTS yes
-Barcelona v real betis over 2.5
-Leicester v arsenal over 1.5
-Kopenhavn v Aab Aalborg over 0.5
-Dinamo kiev v volyn lutsk over 1.5
-Pec zwolle v Psv BTTS yes
-Groningen v fc twente over 1.5
-Watford v chelsea over 0.5
-Ajax v willem II tilburg ov 1.5
-Fc basel v fc lugano over 1.5
-Stoke city v man city over 0.5
-Juventus v fiorentina over 1.5
LIWALO NA LIWE!!! [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]
mkuu wewe acha tu. huu mchezo unahitaji uvumilivu wa kutosha. sijaelewa hadi leo kwa nini Ajax wamefungwa nyumbani na kibonde na kuniharibia mkeka wa pesa nyingi.Mimi jana katika timu kumi na 1 nakosea timu 1 kwa mchezo wa Double chance , Ilaaniwe sana West bromwich albion!
Huyu naye kaniaribia Na Mimi yeye Na liver Na Ajax alafu kila MTU kachana mkeka wakeMimi jana katika timu kumi na 1 nakosea timu 1 kwa mchezo wa Double chance , Ilaaniwe sana West bromwich albion!
Mkuu Mimi Ajax liver Na West Bromwich Albion wamenichania mikeka ya ela nyingi alafu kila MTU mkeka wakemkuu wewe acha tu. huu mchezo unahitaji uvumilivu wa kutosha. sijaelewa hadi leo kwa nini Ajax wamefungwa nyumbani na kibonde na kuniharibia mkeka wa pesa nyingi.
Huu mchezo ni wa ajabu sana mkuu. Ndio maana hasira haihitajiki.Mhindi bana ..juzi nimeangalia mechi zote za ligi kubwa zenye chaguo la kona ... Ni mechi mbili tu yaan city na Lyon ndio zilivuka konda 12.... Nkaona ngoja niwape leo ligi kuwa mechi chache konda under 12.5.... Timu 16 NNE zimegoma tena ZIMEGOMEA KICHWANI NGWEEEEE
Dallas kona 13
Sporting Kansas 13
Angers 13
Toronto 13...