Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,781
- 20,059
Daaah usijali mungu atabariki na kuwepa wepesi, mie nadai goli tu kipindi cha piliMalaga wana kona 5 halftym (nadai 4)
Man utd wana 3 ( Zimwi likujualo)
Lyon wana konda 9 halftym(tick)
Ngoja leo nikawasalimu mbet, coz wamenila jumla 20,000 kwa sababu ya option ngumu kushinda. Kama wameongeza hizo itabidi niwarudie coz hawana process ndefu za malipo, tatizo lao wanaweka mechi chache.Wale wa mbet nimeona wameongeza option ya double chance na option ya under/over 1.5 ht
mkuu naomba unielekeze jinsi ya ku screen shot mkeka kwa meridianHivi hawa jamaa watarekebisha lini huu upuzi wao???
View attachment 384283
grrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
Tpaul odds kdgo zip ? Me ni odd 300 naaDu, pole sana chief. Yote maisha. This game does not need any ANGER. Ngoja tujipinde tena leo naona kuna timu zinasomeka tukusanye mtaji wa kuliwa kesho na keshokutwa maana wikendi ni siku za kuliwa.
Uckatee tamaa mkuu utapga 2Dundee kaninyima mtaji wa kesho nw nina mia saba tu, ngoja nilale tu aisee maana unaweza kuwaroga