Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

choose double or single bet, Good lucky 2u
Scotland - Premiership
Dundee FC vs Hamilton Academical
Tip: Over2.5
Odds: 1.90

********
France - Ligue 2
Strasbourg vs Nimes
Tip: 1
Odds: 1.85

********
Croatia - 1st Division
NK Dinamo Zagreb vs RNK Split
Tip: 1
Odds: 1.40
********
Spain - La Liga
Malaga vs Osasuna
Tip: 1
Odds: 1.67

********
France - Ligue 2
Le Havre vs AC Troyes
Tip: 1
Odds: 1.50
 
Wiki nzima kila mkeka mchawi moja mikeka 5×2000 team 15/bet slip hesabu za haraka haraka 4.7 mil nimekosa na 10k kupoteza..[emoji20] [emoji20] [emoji20]
#One Day Yes
we unashangaa kukosa120000 kuna watu tunalia nyuma ya keyboard mkuu we acha tuu.
Jana nimechambua mikeka minne imekufa yote, sawa imekufa ila kunabaadhi inauma ukiifikiria
na hii ndio mikeka miwili iliyoniumiza
1: odd 2350 Aliua sijui ni mtimu unaitwa Mjyland na Levadia Tallinn.
2: odds 24670 waliua hao hao na gala mmoja wa kuitwa Aek[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
 
Man u
Dundee
Lyon

Goal in both halves.
Mungu ibariki betting, mungu bariki waja wako.
 
Du, pole sana chief. Yote maisha. This game does not need any ANGER. Ngoja tujipinde tena leo naona kuna timu zinasomeka tukusanye mtaji wa kuliwa kesho na keshokutwa maana wikendi ni siku za kuliwa.


Hahahaha ... acha kbs, nlinyunyiza 20K hapo nkawa nasubiri 700K ila Mitjylland alipenda hela iende kwa Kanji.
'Man at work' nachambua mechi za kesho na keshokutwa hapa ... hii weekend lazima kieleweke.
 
mkuu
Wakuu mimi tangu juzi kila nikibet nakosea mechi 2 tu juzi kati Fc porto nilimpa win , villa real nikampa sare wakaniroga nikakosa 120000.
Huyo huyo tena fc porto kwenye ticket ya B.GOALS AKANIKOSESHA 232 K,
Jana nimebet mara 3 kila mkeka nimekosea mechi 2 sasa kuanzia leo naweka mechi 4 mwisho .
MAN WIN
LYON WIN
BRAGA WIN
mkuu unaweza ukaweka hata timu 1 bado ukapigwa
 
Hivi hawa jamaa watarekebisha lini huu upuzi wao???

upload_2016-8-19_20-20-32.png


grrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
 
Meridian bet nw hawaweki rangi nyekundu na kijani kama umeliwa au umekula hii ni kwangu tu au kwa wote?
 
Back
Top Bottom