Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Sport Huyancao 2+, nisaidieni kuyaminya nile hela jamani daaaah
 
Cheki nilivyopishana na mhindi.... NINGECHEZA UNDER 1.5 EACH HALF NO alikua naamka na pesa.... Tuache hilo wote wametoa 3+ .... Napo ningekula , wote wametoa 2+ .... Tatizooooo both team to score & 3+ ... Afu MTU anapigwa 4-0, 3-0,3-0,3-0 .... Afu ndio wechana .... Mamaaane odd 407
 

Attachments

  • Screenshot_2016-08-19-06-01-00.png
    Screenshot_2016-08-19-06-01-00.png
    19.5 KB · Views: 51
Jiokoteee ...... Odds 1223
 

Attachments

  • Screenshot_2016-08-19-10-07-02.png
    Screenshot_2016-08-19-10-07-02.png
    51.7 KB · Views: 45
Daaah hii week niki tupia tuu mchawi mmoja lazima ajitokeze..
..
.
 

Attachments

  • IMG_20160819_103535_650.JPG
    IMG_20160819_103535_650.JPG
    37.9 KB · Views: 41
hivi blaza unajuabbado naitafakari hii option? pamoja na Maelezo yako jana ila nashindwa kuitofautisha na option ya 2+

au utofauti wake upon wapi?
Utofauti upo kwenye odds mfano malaga
2+ ni 1.44 lakini
Under 1.5 each half no ni 1.75....
Natumaini umeona tofauti
 
mchawi nani?

dinamo zagreb
nac breda
malaga
man u
lyon

all normal win

odds 5.7
stake 100,000
 
Bayern Munichen Win

Malaga Win

Lyon Win

Dinamo Zagreb Win

Man u Win

Leo mtaji wng unakua namna hii
 
Back
Top Bottom