hashycool
JF-Expert Member
- Oct 2, 2010
- 6,555
- 2,841
Hahahahahaha leo ndo leo man Draw
aki draw.... nakunya hapa
Hahahahahaha leo ndo leo man Draw
Sawa ila mimi nimebashiri hivyo.aki draw.... nakunya hapa
hivi blaza unajuabbado naitafakari hii option? pamoja na Maelezo yako jana ila nashindwa kuitofautisha na option ya 2+
au utofauti wake upon wapi?
poaSawa ila mimi nimebashiri hivyo.
Under 1.5 each half NO si ina maana kila kipindi kiwe over 1.5 au inakuajenimeamua kufanya malipo na kwa 2+ ili ujionee utofauti na kwa faida ya wengine wengi
ukiwapa 2+ hao hao odds Jumla ni 85
ukiwapa UNDER 1.5 EACH HALF NO odds Jumla ni 1223
angalia odds moja moja utaona utofauti wa 2+ na hii ingine
asante mkuu ngoja nikufuate pesa hiinimeamua kufanya malipo na kwa 2+ ili ujionee utofauti na kwa faida ya wengine wengi
ukiwapa 2+ hao hao odds Jumla ni 85
ukiwapa UNDER 1.5 EACH HALF NO odds Jumla ni 1223
angalia odds moja moja utaona utofauti wa 2+ na hii ingine
hivi blaza unajuabbado naitafakari hii option? pamoja na Maelezo yako jana ila nashindwa kuitofautisha na option ya 2+
au utofauti wake upon wapi?
nilishatoa maelekezo mkuu.... ngoja nirudie tu sitokufaUnder 1.5 each half NO si ina maana kila kipindi kiwe over 1.5 au inakuaje
😀😀😀😀 VERY GOOD VIZURI SANA MERVELLOUS EXELLENT .....Nilivyoielewa hii option kwa mujibu wa Mtoto wa nzi ni hivi;
Wakisema "Under 1.5 in each half" ukisema No, utakula kama kuna half itakayoleta magoli zaidi ya 2.
Kama ikitokea half ya kwanza ikawa na goli 1, na half ya pili nayo ikawa na goli 1 utakuwa umeliwa; ingawa game ina 2+.
So kwa maana nyingine ni kwamba atleast kipindi kimoja kiwe na magoli mawili au zaidi.
So hapa ina maanisha atleast kipindi kimoja kitoe over 1.5, so ikiwa NO unakuwa umekula but kila kipindi kikitoa goli moja ndio unakuwa umeliwa.nilishatoa maelekezo mkuu.... ngoja nirudie tu sitokufa
HAIMAANISHI KILA KIPINDI KIWE NA MAGOLI MAWILI - KILA KIPINDI KUWA NA MAGOLI MAWILI NI (OVER 1.5 EACH HALF YES) maana ya UNDER 1.5 EACH HALF NO NI KWAMBA kipindi chochote kitoe magoli mawili NARUDIA TENA KIPINDI CHOCHOTE KITOE MAGOLI MAWILI SIO KILA KIPINDI KITOE MAGOLI MAWILI .....
NA MACHAGUO YENYEWE PIA NILISHAYAWEKA HAYA HAPA
SASA UPO TAYARI KWA MTIHANI ONGEZA JUHUDI... UMESHAFAULU TUITIONSo hapa ina maanisha atleast kipindi kimoja kitoe over 1.5, so ikiwa NO unakuwa umekula but kila kipindi kikitoa goli moja ndio unakuwa umeliwa.
Mekupata mkuu
Ngoja nichambue timu, tatizo mie nkiweka mikeka siwezi kuiangalia tena inagomaSASA UPO TAYARI KWA MTIHANI ONGEZA JUHUDI... UMESHAFAULU
😀😀😀😀 VERY GOOD VIZURI SANA MERVELLOUS EXELLENT .....
KUKUONGEZEA NOTSI KWA UFAULU MZURISo hapa ina maanisha atleast kipindi kimoja kitoe over 1.5, so ikiwa NO unakuwa umekula but kila kipindi kikitoa goli moja ndio unakuwa umeliwa.
Mekupata mkuu
unatumia nini simu/tablet/laptop mpaka kushindwa kuangalia!!!Ngoja nichambue timu, tatizo mie nkiweka mikeka siwezi kuiangalia tena inagoma
Natumia simu mkuuunatumia nini simu/tablet/laptop mpaka kushindwa kuangalia!!!
Mkuu kwa hiyo hapo ni 2+ Full timenilishatoa maelekezo mkuu.... ngoja nirudie tu sitokufa
HAIMAANISHI KILA KIPINDI KIWE NA MAGOLI MAWILI - KILA KIPINDI KUWA NA MAGOLI MAWILI NI (OVER 1.5 EACH HALF YES) maana ya UNDER 1.5 EACH HALF NO NI KWAMBA kipindi chochote sio VYOTE ,kitoe magoli mawili NARUDIA TENA KIPINDI CHOCHOTE KITOE MAGOLI MAWILI SIO KILA KIPINDI KITOE MAGOLI MAWILI .....
NA MACHAGUO YENYEWE PIA NILISHAYAWEKA HAYA HAPA
PANADOL or PCM?
View attachment 384084
MDAU ... inaweza kuwa full Time 2+ lakini HAKUNA KIPINDI KILICHOTOA 2+ , HAPA TUNAONGELEA KIPINDI KIMOJA KIMOJA TUUUUU..... ukishindwa cha kwanza basi unasubiri cha pili ... HATUJUMLISHI MAGOLI YA KILA KIPINDI ...HAYA TAZAMA MFANO WA HII BET NILIYOLIWA.....Mkuu kwa hiyo hapo ni 2+ Full time