Wakuu hivi, kuna watu washakula Mil 40 and premier bet au kampuni yoyyote ya bet? Je huwa wanalipa bila taabu??
Aisee safi sanaWanakulipa bila longo longo mzazi ... we changa tu karata zako vzr umtusue. Kuna jamaa mwaka jana alipiga 30m walimpa, akaenda kuvuta Toyota Carina yake saaaafi ... nyingine akafanya mambo mengine.
Hahaahaaaaaa umenkumbusha jamaa huku pori alimpiga 13M akanunua bajaji matairi matatu bajaji zake 3.. Akazibandika nyuma Asante premier bet.... Zimemuingizia pesa sasa ana miliki gari cresta.....Wanakulipa bila longo longo mzazi ... we changa tu karata zako vzr umtusue. Kuna jamaa mwaka jana alipiga 30m walimpa, akaenda kuvuta Toyota Carina yake saaaafi ... nyingine akafanya mambo mengine.
Wakuu kuna alienifata kwenye huu mkeka ? Mpk sahv umefkia hapa ?
Hahaahaaaaaa umenkumbusha jamaa huku pori alimpiga 13M akanunua bajaji matairi matatu bajaji zake 3.. Akazibandika nyuma Asante premier bet.... Zimemuingizia pesa sasa ana miliki gari cresta.....
Asante sn mkuu !bilu97 a.k.a mzee wa makololo ... aminia saaaana mzazi, naona zimepangika vzr. All the best kwa hizo chache zilizobaki. Hopefully utatoboa.
Kwa wale wa bet wameongeza options, double chance na under 1.5 first half
Asante sn mkuu !
Premier cjaona hyo option mkuu !!Mkuu kama wana option za ku-cash out kaitoe hiyo pesa. Usisubiri mpaka mwisho, wazungu wana msemo wao wa "a bird in the hand is worth two in the bush".
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]kuna option ya kuminya kende tu na kusubiri mpk mwsho (lakini haijawekwa kwny website yao)..
Du, pole sana chief. Yote maisha. This game does not need any ANGER. Ngoja tujipinde tena leo naona kuna timu zinasomeka tukusanye mtaji wa kuliwa kesho na keshokutwa maana wikendi ni siku za kuliwa.Hongera sn Chief, odds chache lkn ukishinda unapata moyo wa kusonga. Mimi jana Mitjylland kaninyima hela nzr ms*ng* yule sina hamu nae ... odds 37.13 ... mxiuuuuuuu
View attachment 384158
All the best mkuu.odds 43.... ngoja ajichanganye .... nimemaliza kwa leo....
Umenena ukweli mtupu mkuu.Kubet mkeka wa game kumi handicap kwa jero ili ule laki 5 ni ujinga na utaliwa daily. Bet ushindi wa kawaida kwa timu tatu za uhakika, weka hela ya ukweli. Utakula siku zote...
Nani hawa mkuu? Hawa ndio wazuri, nataka nihamie huku.Odds zao hua zinabadilika badilika kulingana na game na muda unavyo kwenda ukibet kama siku tatu kabla ya game odds zinakua nzuri na kiwango cha return ukipiga mkeka kwa ligi za kawaida ni USD 163000 kwa game za uefa wanatoa hadi USD 1600000 kwa mkeka ukishinda