Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,781
- 20,059
Wananzengo mpoooo.... Kwa matokeo yanavyoenda mpaka sasa nzengo yetu itakuwa na misiba ya kutosha....
Kijana anawakilisha vema. Naona katupia cha pili.Samataaaaa goooo
Kabla sijaibetia Genk kwanza naangalia lineup nikimuona Samara naweka mzigoKijana anawakilisha vema. Naona katupia cha pili.
Midtjylland ... jina ka dawa ya kienyeje mamaaeeee zenyu, mxiuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
Asanteni sana mlionipa tips, nauli ya kutoka Dodoma imepatikana. Sometym inabidi kutembelea nyota ya wengine tu. Tusijiamini sana
Cc Buddy
Mtoto wa nzi
Tpaul
Moyes
Root
Sumve
Nashukuru Mungu muda nashuka kwenye basi mechi yao ishafika mbali nikaiachaNi kweli, ila Mitjylland alipewa ushindi karibia watabiri wote ... BankoCep, Clevertips, BankoLig etc ... lkn kafanya fyongoo ...
midtjylland sitakusahau ulichonifanyia leo.....