Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wakuu mshaangalia Bankocep naona uchambuzi wao uko vizuri leo. Cm yangu inazingua kuattach mwenyekuweza kuweka pls Cc Mtoto wa nzi na Buddy.

75500c98e76b1989139f46a36b843c4b.jpg
 
Naona kama pana pesa hivi hapa.

Wa kwanza huu nauamini kwa 90%
-FC MIDTJYLLAND win 1.85
-PANATHINAIKOS win 1.65
-SASSUOLO GG

WA PILI
SHAKHTAR DONETSK,RAPID VIENNA,OLYMPIAKOS PIRAEUS all norma win.

WA 3.

FC ASTRA GIURGIU,KRASNODAR,SKIVE,all gg

WA 4.OVER 1.5
ZOTE HAPO JUU MKEKA 1+2+3.
 
Anderlecht [emoji736]
Astra[emoji736] [emoji735]
Vojvodina[emoji736]
Haka[emoji736]
Fenebahce[emoji736]
Imoooooooooooooooooooo
 
Wazee hv unaposhinda bonus kwny premier bet naweza itumia vp au kuipata wapi? Je naweza iitoa kama cash? Mwenyekujua tafadhali
 
P
Naona kama pana pesa hivi hapa.

Wa kwanza huu nauamini kwa 90%
-FC MIDTJYLLAND win 1.85
-PANATHINAIKOS win 1.65
-SASSUOLO GG

WA PILI
SHAKHTAR DONETSK,RAPID VIENNA,OLYMPIAKOS PIRAEUS all norma win.

WA 3.

FC ASTRA GIURGIU,KRASNODAR,SKIVE,all gg

WA 4.OVER 1.5
ZOTE HAPO JUU MKEKA 1+2+3.
All the best mkuu.
 
Back
Top Bottom