Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ha ha ha, usinikumbushe kipindi cha NBA, hakuna kulala!

Huu mwaka nataka nirudi kwenye soccer mkuu, naona ma-option yanaongezeka.
Umebaki mwezi mmoja NBA ianze .... Ole wao WABADIRISHAO USIKU KUWA MCHANA..... HAWATONA UFALME WA MBINGU..... Na kila siku nakesha usiku kucheki mechi ....
 
Umebaki mwezi mmoja NBA ianze .... Ole wao WABADIRISHAO USIKU KUWA MCHANA..... HAWATONA UFALME WA MBINGU..... Na kila siku nakesha usiku kucheki mechi ....

Siyo mwezi mkuu, kitu inaanza October 25.

Pre season ndo inaanza October mwanzoni.
 
OPTION NDIO HIZI HAPA WADAU

1) over 1.5 each half , ukisema YES ni kwamba kila kipindi yapatikane magoli mawili , kipindi cha kwanza mawili na cha pili mawili point zake ndio hivo point mlima 5.4, 5.1, 6 n.k, ILA ukisema NO ili ushinde inatakiwa kipindi chochote kisifikishe goli mbili point zake za kidwanzi 1.12, 1.15 wakati ni very risky kutofikisha magoli mawili kwa kipindi

2)under 1.5 each half, ukichagua YES point ni nzuri 2.5, 2.3 kwenda juu lakini ndio kila kipindi kisifikishe goli mbili , ukichagua NO ndio kama maelezo ya awali - kipindi chochote kifikishe goli mbili....



Mkuu hii option ni ya kuifanyia kazi. Hasa kwa "under 1.5 each half" = NO
 
Ushauli hapa unahitajika
 

Attachments

  • 1471500435216.jpg
    1471500435216.jpg
    31.9 KB · Views: 37
Valur over 1.5
Haka over 1.5
Fylkir over 1.5
Hobro over 1.5
Albania over 1.5
Fc botosani win
Levadia Tallina win
 
Wadau naombeni odd 2.3 zenye uhakika nataka nifanye kufuru. Nipo safarini kuelekea Dodoma. Nahitaji kucheza mechi za jioni kuanzia saa moja
 
Back
Top Bottom