sunola
JF-Expert Member
- Jun 19, 2013
- 2,781
- 1,741
Mtoto wa nzi mfano wakitoa 2:0 cha kwanza afu cha pili yakaongeeka 3:0 na match kuisha 2:3 inakuwaje hapo kamandaHuyu keshapita na ishawekwa kijani...
Maelezo :
Kipindi cha kwanza wameenda 1-0 (under 1.5 first half)
Kipindi cha pili wameenda 2-2 (over 1.5 second half).... Hivyo basi kila kipindi hakijatoa UNDER 1.5 .... Hivyo lile chaguo na UNDER 1.5 EACH HALF NO LIMEKUBALI ...... HAYA KAZI KWENU NA ODDS HAZIPUNGUI 1.30.....