G55-MGODI
JF-Expert Member
- Jul 5, 2016
- 1,353
- 1,827
Meridian hawana hii option nn mbona siioniodds 243... jichagulie.... yafungwe magoli mawili kipindi chochote....
Meridian hawana hii option nn mbona siioniodds 243... jichagulie.... yafungwe magoli mawili kipindi chochote....
Usitake tubishane bure kijanaAliyekwambia Mungu anafanya malipo nani?
Yap...Wakuu Goal in both halves, ina maana kila kipindi lipatikane goli haijalishi ni timu gani inafunga?
Mkuu umenena vyema kabsa.....matumizi gani ya pesa ni sahihi na ambayo sio sahihi.? wewe unatoa sadaka na unakondeana wakati padri shavu dodo ukiamini utalipwa kwa miaka nenda rudi nani anajali hayo.? usione uko sahihi sana kuliko binadam mwengne.. kila mtu ana matumizi yake ya pesa na usiingilie hilo labda kama unasaidia kumtafutia hizo pesa lakini kama humsaidii kuzitafuta nakushauri ukemee hilo pepo la ujinga linalokuandama..
Mkuu umenena vyema kabsa.....
Unajua kuna watu hapa duniani wanajifanyaga wao ni wema kuliko wenzao.....Mimi huwa nawashangaa sana
Mungu hafanyi malipo mwehu wewe....
Mpotezeeni anatafuta kiki, hawa ndio watu wanaoshinda kwa mchungaji na kutoa sadaka afu kwake au kwao wanalala njaa, sadaka sio lazima pesa hata hapa tunatoa sadaka, anajiona mwema na mtakatifu kutoa sadaka huku anaowapa wakinenepa na kukuza vitambi vyao.....hajui kuwa analiwa kwa kupitia mgongo wa fungu la kumi.matumizi gani ya pesa ni sahihi na ambayo sio sahihi.? wewe unatoa sadaka na unakondeana wakati padri shavu dodo ukiamini utalipwa kwa miaka nenda rudi nani anajali hayo.? usione uko sahihi sana kuliko binadam mwengne.. kila mtu ana matumizi yake ya pesa na usiingilie hilo labda kama unasaidia kumtafutia hizo pesa lakini kama humsaidii kuzitafuta nakushauri ukemee hilo pepo la ujinga linalokuandama..
kampuni gani kuna option hyo maana naiona rahis sanaKwa mfano hiii kipindi cha kwanza wametoka 1-1 ... Tayari chaguo la Under 1.5 each half NO limekubali....
Hii ipo poa sana ngoja ntaijaribu jmocHuyu keshapita na ishawekwa kijani...
Maelezo :
Kipindi cha kwanza wameenda 1-0 (under 1.5 first half)
Kipindi cha pili wameenda 2-2 (over 1.5 second half).... Hivyo basi kila kipindi hakijatoa UNDER 1.5 .... Hivyo lile chaguo na UNDER 1.5 EACH HALF NO LIMEKUBALI ...... HAYA KAZI KWENU NA ODDS HAZIPUNGUI 1.30.....
South Korea K League Classic full GG ... daaah, tumepishana na hela hapo.
kumbe ni aina flani ya double chance ila iliyojikita zazidi kwenye over1.5 au 2+ goals kwa kipindi chochote?Kwa mfano hiii kipindi cha kwanza wametoka 1-1 ... Tayari chaguo la Under 1.5 each half NO limekubali....
Yaah man.... Kipindi chochote kiwe na 2+ haijalishi cha kwanza au cha pilikumbe ni aina flani ya double chance ila iliyojikita zazidi kwenye over1.5 au 2+ goals kwa kipindi chochote?
ipo kampuni ganikumbe ni aina flani ya double chance ila iliyojikita zazidi kwenye over1.5 au 2+ goals kwa kipindi chochote?
premier mkuuipo kampuni gani
thanks mkuu,premier mkuu