Buddy
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 7,117
- 8,885
Kwa faida ya watu wasio na simu itabidi predictions za hawa jamaa tuwe tunaziweka mapema
Sawa mkuu ... leo bado hawajatoa predictions zao. Wakizitoa nitazirusha hapa immediately. Wadau wazijadili na kuona zipi tuzifuate.