Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mi nimetembea hiv
1471429823678.jpg
 
teh mkitaka kulia wafateni bankocep leo.... jana ni jana na leo ni cku nyingine... jana ckua na mpango nao baada ya juzi walikosea mechi nyingi kinoma nkaona waduanzi tuu
 
odds 243... jichagulie.... yafungwe magoli mawili kipindi chochote....
 

Attachments

  • Display Account(3).png
    Display Account(3).png
    13.6 KB · Views: 42
Nigeria - Germany-No
Fc Porto - Roma-Yes
Barnsley - Qpr -Yes
Newcastle - Reading -Yes
Villarreal - Monaco -Yes
Dundalk - Legia Warszawa-Yes Barcelona - Sevilla-No


Leo nimekwenda kwa mwendo huu........hapo vipi wadau?

Both teams to score.
 
Nigeria - Germany-No
Fc Porto - Roma-Yes
Barnsley - Qpr -Yes
Newcastle - Reading -Yes
Villarreal - Monaco -Yes
Dundalk - Legia Warszawa-Yes Barcelona - Sevilla-No


Leo nimekwenda kwa mwendo huu........hapo vipi wadau?

Both teams to score.
Hapo kwa Barcelona Duh!! Sevilla atapachika goli ndugu
 
Sijailewa hii, hebu fafanua
1)Kuna Over 1.5 in each half ..... Yaani kila kipindi zipatikane 2+ (kila kipindi kuwe na magoli mawili)

Kuna kukubali Yes na kukataaa No

2) UNDER 1.5 In each half (kila kipindi kisifikishe magoli mawili )
Napo kuna kukubali Yes au kukataa No
 
Back
Top Bottom